Tukiwaambia kuwa tunawapenda sana (tena ule upendo wa kweli, siyo mapenzi ya paka au nyau) mnadhani tunatania....
Ila ukweli unabaki pale pale..ukiona mwanamume anachukua tahadhari zote anapotaka kufanya upuuzi wake huko nje (ili naye ajihisi ni mgunduzi kama akina Vasco da Gama), basi ujue huyo anampenda sana na kumuheshimu mke wake! Na huyo anayetongozwa, anatumiwa kama sahani ya mama ntilie...
Naomba niishie hapa....
Bye bye for now....Babu
Asprin (The King) uko wapi???
Leo hakuna kutenda dhambi...ni siku kuu yetu ya kukenua mapengo na kureflect tulivyofika hapa!!
Titaonana baadaye tikipewa nafasi na mwenye kushika hatamu....,
Babu DC!!