Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
Mzee Mwanakijiji,
Vipi tena "hoja kwa hoja" zinakushinda unaanzana na "ndoto na hisia" sasa? Kama una hoja we iweke tu usijifiche nyuma ya ndoto kama kweli una nia ya kumkoma nyani kisawasawa...
utaota kila ndoto, sio bure una lako.
ota na za mbbowe na mdoe na zitto na wengine.
mie nnaamini ukilala unaweweseka kwa choyo na husda
Mzee Mwanakijiji,
Vipi tena "hoja kwa hoja" zinakushinda unaanzana na "ndoto na hisia" sasa? Kama una hoja we iweke tu usijifiche nyuma ya ndoto kama kweli una nia ya kumkoma nyani kisawasawa...
mhm, haya bana mie sisemi !Si vibaya ukarudia kusoma ili uelewe vyema kama hujaona ujummbe mzito.Maana kama unasoma kama hadithi unaweza utoke kapa kama akina Kada na kundi lake hapa .Hebu rudia kusoma kaka utapata hoja ambayo iko wazi na haiko nyuma ya ndoto hata mara moja .Soma tena nakushauri kwa mara ya mwisho .Una uwezo mkubwa kuliko Kanda na kundi lake .
Kama kuna ushemeji kokote uonesheni sijauhukumu kuwa ni mbaya... kwa sababu wakati tatizo wengine laweza kuwa ni masuala ya fedha, naamini tatizo kubwa ni "undugunization" uliojikita kiasi kwamba Rais Mkapa mkuu wa BRELA ni Mkapa mwingine halafu Rais anataka kuanzisha kakampuni nje ya taratibu au maadili na mtoto mtu hawezi kupinga... ni mkorogano wa undugu kiasi kwamba maslahi ya Taifa kwa kweli yanatishiwa.

Mkjj unanikumbusha undugunization uliopo ndani ya chadema kama unavyoelezewa kwenye thread moja wapo humu. Duhh, au ndio mila zetu Tanzania?
Hapo hujaingiza mix la Mramba kuwa baba yake Peter, ambaye ni mtoto wa kwanza wa Mama Anna Mkapa, aliyeenda kupewa ubinafsishaji wa asset za TTCL kiajabu ajabu.
Sasa stepdad rais na baba Waziri influentcial, apewe nini zaidi?
Moreover kazi ya kuchunguza uuzaji wa assets za TTCL ilipokuja tume akapewa nani?
Who else but Mramba? Kumchunguza mtoto wake mwenyewe Peter.
Na wala hakuwa na integrity ya ku declare conflict of interest wala nini.Ndiyo nchi yetu hiyo.