Hoja ya Zitto sio ya CHADEMA

unasahau kuna sahihi ya mrema na wana cuf wale mnaosemaga wameolewa na ccm hapo,msipende cheap poularity nyie,na hapo mngependa aanzishe mwingine huko cdm sio zitto maana kiukweli hamnaga mapenzi nae,hapa mnajichekesha kwake kinafiki tu
 
Falsafa ya chadema inasema "CHADEMA inaamini katika siasa ambazo ziko juu ya vyama zenye kusimamia zaidi maslahi ya Taifa"
 
55;mh Hamad Rashid mohamed CUF,64;mhe Hamad Rashid Mohamed CUF. Aanzishe Zitto aanzishe Lissu tunajua CDM ni chama cha mashujaa. Crdts za CDM haziji kwasababu ya usajili wake coz hata CUF kimesajiliwa bali crdts za CDM zinaletwa na makamanda wake Zitto akiwemo. Zitto anapigania maslahi ya taifa,na kwakupigania maslah ya taifa anapigania maslah yake na ya chama chake kwan maslah ya taifa ndio masalah ya CDM. Japo alieanzisha anastahili sifa lakin hoja ya nani kaanzisha si ya msingi sana msingi ni pale wabunge walipoona mantiki ya kitendo chake na wakawa tayar kumuunga mkono. Propaganda za namna hii hazituhamishi kwe mantiki tena kama mlivyozoea. Watanzania sio wepesi tena kama viongoz wengi wa CCM walivyozoea. Kwaufup watanzania wako mbele kuliko CCM ndo mana kila mahali inaachwa nyuma.
 
Zitto is an independent organ ndani ya CDM! Ana msimamo na anajua anachokifanya. Yupo tofauti kabisa kimaamuzi na wabunge wengine wa CDM. Ndio maana hata njaa za vihela vya posho hana!!

Ningekunya peupeee endapo nicngeiona coment yako kwenye hii thread... Gamba halifichiki: Wapi J Makamba,Kilango,Shelukindo, Six?!????????! wanafiki wooote.. Na hoja aliyoitoa ZTO ni kuhitimisha kile Lissu alisema saa 5:45 asubuhi siku ile..
Chezea Lissu wee..
 
Hivi sisiemu walipoiba hoja ya katiba mpya pia ulitufahamisha? hebu nikumbushe kidogo, au wakati huo hukuwepo nchini!

Jifunze siasa wewe mkuu,
sisim kuanzisha ile hoja ilikuwa ngumu kidogo ila walitaka waropokaji waanze kisha wao waisimamie, huoni sasa sisim ndio wasimaiaji wa kuu wa mchakato?
 
umesahau kuwa aliyeanzisha mjadala wa kumpigia pinda no confidence ni lissu bungeni kabla zitto kuiendeleza,kwani zitto anatoka chama gani?roho inakuuma,unatamani kujiunga cdm ila unaona aibu kula mitapishi yako!

Kwa kuongezea mie nimehesabu na kukuta katika hao 71 wabunge toka CHADEMA ni 40 sasa sijui alitaka ushahidi uweje ili aamini kwamba CHADEMA ndiyo yenye uchungu na wananchi wa Tz. Lakini nipende kuwapongeza wajumbe toka NCCR-Mageuzi, TLP na CUF kwani wameungana na waanzisha kupambana na ufisadi nchini. Yawezekana kabisa hao watuhumiwa siyo mafilauni kwa kiasi hicho lakini usimamizi mbovu katika maeneo yao inatosha kabisa kuwaondoa kwa nanma yoyote ile.
 

Mkuu hao kwenye
red; ni unafiki tu umewajaa! Mtuhumiwa namba moja kwenye hii scandal ni mumewe halafu leo wajidai kupingana naye? Wanafiki na mamluki tu hao. Ikishindikana Bungeni nguvu ya umma itafanya kazi; msiwaamini kabisa hao na unafiki wao.

Mara mia mbunge wa CCM mwenye nia njema kama Filikunjombe na Mzee Lugora kuliko mbunge wa CUF hasa kutoka Visiwani; ni wanafiki ajabu.
 
mnahaha sana safari hii ila mwisho wa siku tutajua nani chama chake cha wapiga porojo na chama kipi ni mtendaji pale bungeni.
Endeleeni kuwa na roho ngumu kama Farao sisi tutawatandika mapigo kumi ya hatari ndo mtasidiki.
 
Tusubiri j3 sijui kitaachoamauliwa kitakuwa ni Hoja ya J.M.Kikwete au ni hoja ya M.K. PInda au ni hojo ya CCM? Ebu saidia ufafanuzi.
 
ULITAKA AONGEE KINGEREZA KAMA ANAANDIKA KISWAHILI..Wabongo kwa kujifanya wanajua kingereza hamjambo...

Mwakalinga umenichekesha kweli yani mijitu mingine milimbukeni kweli inaona ukiongea kizungu ndo unajua kila kitu.
 
imekuelewa vizuri mtoa mada!Lakini kwa muundo wa siasa za Tanzania ulivyo kwamba kila mgombea ubunge lazima awe ni mwanachama wa chama fulani na wengi wanaendeshwa na sera za vyama vyao itakuwa ni ngumu sana kumshawishi mtazania atofautishe Zitto Kabwe na CDM unless tulianzishe upya kuhusu mgombea binafsi!!
 
unasahau kuna sahihi ya mrema na wana cuf wale mnaosemaga wameolewa na ccm hapo,msipende cheap poularity nyie,na hapo mngependa aanzishe mwingine huko cdm sio zitto maana kiukweli hamnaga mapenzi nae,hapa mnajichekesha kwake kinafiki tu
Tambwe Hiza, aliyepaswa kutoa hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu ni mtoa hoja wakati akihitimisha hoja yake. CDM wana mwenyekiti mmoja tu wa kamati ya kudumu. Sasa huyo mwingine uliyetaka wewe atoe hoja angekuwa nani? Cheyo, Mrema ama nani? Acha kukurupuka bwana Hiza.
 

Tukiachilia mbali the latest statistics ya waliosaini based on your list one can have the following

Chama

Idadi yao bungeni

Idadi ya Waliosaini

% of their total

% of the total in parliament

Position by percentage of the total
CCM

266

2

0.75

0.56

3
CHADEMA

48

40

83.00

11.23

1
CUF

36

27

75.00

7.58

2
NCCR

4

1

25.00

0.28

4
UDP

1

0

0.00

0.00

5
TLP

1

1

100

0.28

4
 
Nafikiri suala hapa la nani kaanzisha mjadala bungeni halisaidii huko tunakotaka kufika sasa bali linaweza kutugawa na kushindwa kufikiwa kwa malengo....Suala hili linagusa umma wa Watanzania wote bila kujali itikadi za kisiasa.Vitani huwa hawaanzishi chokochoko za wenyewe kwa wenyewe otherwise vita hivyo vitakuwa vya kuuana baina ya wapambanaji tukiacha maadui vilevile wakitumaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…