Hoja ya Zitto sio ya CHADEMA

Hata kama hoja ni ya makinda we dont care, hatuangalii rangi ya paka bt uwezo wake wa kukamata panya,,CCM wamesaini wangapi hapo mama???ingekuwa ni hoja ya bunge tungepata sahihi 245+,wale wa CCM waliokuwa wanatoka mapovu wako wapi???chezea na brain za vijana wewe,ukitoka povu tunakupa karatasi umwage sahihi,,,,,Kilango wapi?Ole Sendeka wapi???

umenikosha siku ya leo, bahati mbaya natumia simu ningekugongea like mkuu
 
If am not mistaken hata Halima Mdee alipochangia hoja mwanzo kabisa aliwaambia wabunge tuache kulalamika na tufanye jambo tunaloweza (la kuwawajibisha mawaziri), that was a day before
 
Utasemaje hoja ya Zitto sio ya CHADEMA wakati Zitto mwenyewe ni CHADEMA. Kwenye hili hata Lusinde anakuzidi
 
Utasemaje hoja ya Zitto sio ya CHADEMA wakati Zitto mwenyewe ni CHADEMA. Kwenye hili hata Lusinde anakuzidi
Zitto is an independent organ ndani ya CDM! Ana msimamo na anajua anachokifanya. Yupo tofauti kabisa kimaamuzi na wabunge wengine wa CDM. Ndio maana hata njaa za vihela vya posho hana!!
 
Kwani zitto ana signature ngapi hapo?na wewe unataka kutuaminisha wote hao ni wabunge wa chadema au

Sasa na wewe unazeeka vibaya!!kwani kabwe ni Mb wa chama gani??chama gani chenye wabunge wengi kwnye hiyo list?
Sahihi zilikuwa zinatakiwa 70 tu,na kama unavyojua kuna wabunge wa CDM walikuwa wapo Dar{nahisi walikuwa hawana mpango wa kuwa bungeni},walikwenda dom kwa ajili ya kupiga sahihi tu.Hakukuwa na ulazima wa wabunge wote kupiga saini.
Kumbuka kabwe ndie aliyekuwa anawapigia simu na kuwafuata kupiga hizo sahihi,inawezekana baadaa ya kupata 70 zake hakuona sababu ya kusumbuka pasipokuwa na sababu yeyote ile ya kutafuta ziada.
CDM ni watu makini,zitto ni mtu makini.Utake husitake unapaswa kufahama ya kwamba,CDM ndio wanawafundisha CCM kufikiri.
 
Zitto is an independent organ ndani ya CDM! Ana msimamo na anajua anachokifanya. Yupo tofauti kabisa kimaamuzi na wabunge wengine wa CDM. Ndio maana hata njaa za vihela vya posho hana!!

Hapo kwenye RED umeshakiri kwa maneno yako kwamba Zitto yupo ndani ya CHADEMA. Sasa mbona unabisha na kujijibu mwenyewe.
 
Hapo kwenye RED umeshakiri kwa maneno yako kwamba Zitto yupo ndani ya CHADEMA. Sasa mbona unabisha na kujijibu mwenyewe.
Unaelewa maana ya system? Part ya system haiwezi kuwa system! Hope kama wewe ni kipaji maalum kama mimi utakuwa umenielewa!
 
Zitto ni mbunge wa chadema na hoja iliyotolewa na zitto kwa kiasi kikubwa imeungwa na wabunge wa chadema. Kama ilivyokuwa kwa ccm, chadema nao walikuwa na Party kokus yao na kumback zitto na hoja aliyoiwasilisha! Kama utakumbuka Vincent Nyerere alipokuwa anamalizia mjadala wake alisema "kuna hoja nzito italetwa na Zitto Kabwe" akataka wabunge kuiunga mkono. Hii ni party connection!
 
Huna jipya GAMBA, we kalia kuti tu, siku zinahesabika, na mmeshaogopa kweli. Mh. Kabwe Zito ni wa cdm tu hata muende wapi, na bado.
 
Nilifuatilia kwa makini uwasilishwaji na baadae uchangiaji wa taarifa za kamati zile tatu za bunge zinazoongozwa na wenyeviti toka vyama vya upinzani. Mtu wa kwanza kutoa pendekezo la kuiwajibisha serikali alikuwa ni Halima Mdee, pale aliposema wabunge wawaachie wananchi ndio wawe walalamikaji, lakini wao kama wabunge watumie kanuni za bunge kuiwajibisha serikali.
Kesho yake asubuhi akafata Tundu Lissu na kusema anashangaa kwanini wabunge wa CCM ambao ndo wengi wanashindwa kutumia kanuni zilizopo kuiwajibisha serikali.
Baada ya hapo, jioni wakati wa majumuisho, Zitto Kabwe akajitosa kuanzisha mchakato wa kumwajibisha Waziri Mkuu. Na hata humu JF kuna mtu aliomba mwenye contact na Zitto awasiliane nae (kwa kuhofia kuwa huenda asipate muda wa kupitia JF kwa mida ile) ili Zitto afanye hivyo atakapokuwa anafanya majumuisho.

Sasa ndugu mleta mada unataka kutuaminisha nini hasa?
 
Wewe KIM jaribu kutumia akili unapowakilisha jambo humu JF kwasababu icho kitu unachokizungumzia hapo wala hakina mantiki yeyote ile, ebu tutajie ni nani anayesema kwamba wazo ilo ni la kwao. Kumbuka wabunge waliotia saini ni wabunge waliokuwa na uchungu na Nchi yao. Sio hao wezi wengine waopenda sifa na mapaka hapo kwenye kutia saini, hakika sisi Watanzania wenye akili timamu tumeshaelewa wabunge wenye uchungu na Nchi yao ni kina nani na wale waotaka sifa ya kuongea ili waonekane wanaongea tumewaona. Kwasababu lilipo fika suala la kutia saini wanafiki wote walikaa pembeni.
 
Back
Top Bottom