KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
- Thread starter
- #121
Utasemaje hoja ya Zitto sio ya CHADEMA wakati Zitto mwenyewe ni CHADEMA. Kwenye hili hata Lusinde anakuzidi
Nikuulize swali?
Hoja ya kupinga na hatimae kugomea posho ya kukaa kitako kwa vitendo bungeni ilikua na ni ya nani na imetekelezwa kwa vitendo na kina nani?
Pili hoja ya kugombea urais kwa tiketi ya chadema iliyotolewa na zitto ni ya chadema au yake?
acheni kujifanya leo ndio mna mapenzi na zitto kupita kiasi wakati amekua akitengwa na kupambana mwenyewe,kila siku tunawaambia zitto ni mwanasiasa anaejua kufanya siasa kuliko hao waliojivika vyeo vya uongozi wa upinzani bungeni kumbe ni uongozi wa kula posho za kukaa tu bungeni