Hoja ya Zitto sio ya CHADEMA

Hoja ya Zitto sio ya CHADEMA

Je hii hoja ilikua ya zitto ama alitumwa na chadema?wanachadema acheni unafiki
 
unajaribu kumpigia debe zk nafahamu. watu ni waelewa sana na sidhani kama itasaidia. posho ni mfumo na inawekwa kwenye akaunti kama vmeingia bungeni na kusaini. kama zik hasaini ni sawa. lakini kama anasign na anapata posho ni kesi nyingine. home work nakupa.
 
Ndani ya Chadema kuna utaratibu halali wa namna ya kumpata mgombea urais. Kwa hiyo kama Zitto anajiona ana sifa basi 2015 achukue fomu ya kuomba kupitishwa na chama chake. Hoja za kidini ni muflisi, usizipandikize.

mzee unaikumbuka hii kauli yako ya busara uliyowahi kuitoa huko nyuma tena mwaka huu huu?
 
kwa hiyo ilitoka makao makuu ya chadema au,acheni kibri kura zenu hazitoshi kuiangusha serikali bungeni,hata kama mngependa hamuwezi fanikiwa bila msaada wa anagalau cuf,yani kwenye mipango yenu yeyote mtakayoiandaa dhidi ya govt kuomba msaada cuf hakukwepeki kwani peke yenu hamna meno,hamkupewa na wananchi wapiga kura
Hatukupewa na tume ya uchaguzi, wananchi wanatukubali mpaka sasa, na ndio maana hamlali. Mmekwenda Arusha kwa mbwembwe, mkaambulia aibu, leo hata diwani wa CDM akiwaita wananchi wakutane nae wataacha shughuli zao na kumiminika kumsikiliza. Ninyi endeleeni kukumbatiana na tume ndiyo uhai wenu kisiasa.
 
Mkuu Kim, naikumbuka vizuri hii kauli yangu. Kwani unataka kusemaje?

Noana sasa mnajaribu kumshika mkono asile,kwanini msimuache tu agombee akakataliwe na wanachama kwenye vikao???kwanini watu kama mzee mtei wanamlazimisha asigombee huku wakimtaja slaa kwamba ndio mgombea?huo ndio utaratibu wa chama cha demokrasia kweli?nahitaji ufafanuzi zaidi kwenye eneo hilo.
 
Hatukupewa na tume ya uchaguzi, wananchi wanatukubali mpaka sasa, na ndio maana hamlali. Mmekwenda Arusha kwa mbwembwe, mkaambulia aibu, leo hata diwani wa CDM akiwaita wananchi wakutane nae wataacha shughuli zao na kumiminika kumsikiliza. Ninyi endeleeni kukumbatiana na tume ndiyo uhai wenu kisiasa.
vipi matokeo ya chaguzi za serikali za mitaa?mwaka jana unayo?
 
UKAWA mpigieni magoti Zitto akubali kujiunga na UKAWA then mumsimamishe kwenye uchaguzi October mwakani kama mgombea urais
 
Back
Top Bottom