Hodiii!

Hodiii!

Wakuu naomba kuuliza.
Hivi kuna uwezekano wa kufanya watu washindwe kukuandikia DM au ndio ukishajiunga lazima sms za DM zikufikie?☹️
Mkuu uwezekano upo 100% kuwazuia mafisi pia unaakili kama za demu wangu hata text za wasap anaita sms huku tunaita PM

Nenda kwenye account privacy zuia private messages

Natumai nimefix jambo 😁 alafu mm nakutania tu c unaona sio fisi kama hao wanaokuja huko PM

Sema unashepuuu hako kwenye dp 😘
 
Wageni wa telegram wameanza kushamiri sana mitaa hii.
 
Mkuu uwezekano upo 100% kuwazuia mafisi pia unaakili kama za demu wangu hata text za wasap anaita sms huku tunaita PM

Nenda kwenye account privacy zuia private messages

Natumai nimefix jambo 😁 alafu mm nakutania tu c unaona sio fisi kama hao wanaokuja huko PM

Sema unashepuuu hako kwenye dp 😘
Nimwearibu nimeshindwa.
Nalala nitajaribu tena kesho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom