Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,147
- 55,635
Nitakusaidia kumlinda🤣🤣🤣🤣Msimuharibu tafadhari
Nitakusaidia kumlinda🤣🤣🤣🤣Msimuharibu tafadhari
Ngoja tumsikilize Kaka mdogo maana huyu ndio mlinzi wa kaya hapo nyumbani maamuzi yote atatoa yeye Half american unasemaje?Sikiliza da Joannah.
Kama kweli unanipenda naomba na mimi niwe ndugu yenu.
Kaka zako nimewapenda na mimi natamani wawe kaka zangu.
Akikataa atakua hajui raha ya kuwa na madada wengi akigeuka huku Joannah huku Clepatina bado hatujamletea wajomba na mashemelaNgoja tumsikilize Kaka mdogo maana huyu ndio mlinzi wa kaya hapo nyumbani maamuzi yote atatoa yeye Half american unasemaje?
Akaribie tuunganishe undugu hamna shida Clepatina karibu sana alafu una jina zuri sana 😍Ngoja tumsikilize Kaka mdogo maana huyu ndio mlinzi wa kaya hapo nyumbani maamuzi yote atatoa yeye Half american unasemaje?
Utaki Joannah awe shangazi yao hao watoto?Akikataa atakua hajui raha ya kuwa na madada wengi akigeuka huku Joannah huku Clepatina bado hatujamletea wajomba na mashemela
Karibu ila mimi naomba huo udada uadvance 😅Na mimi naomba niwe dada yako mkuu
Kuwa nao makini watu wa mtaa huu watakunywesha Hadi sumuKama Lubisi ni pombe mie sinywagi halafu huko mtaa wa saba ndo wapi tena?
Ushafeli!acha tu awe mdogo wetu binamu sasaKaribu ila mimi naomba huo udada uadvance 😅
Akili yako ipo sharp Sana kukwepa mishale mdogo wangu😂Awe mama yao mdogo/mkubwa
😅 muulize JoannahAsante sana 💃😍,
Kuanzia sasa si naruhusiwa kukuita kaka?,