Komaa Mimi mwanaume ila usiniite kaka. Huku tunaitana wakuuSorry dadake nilidhani wewe ni mkaka.
Tunawapokea wote, karibu. Jibu swaliAmbao hawajaolewa hamuwapokei?
😂 badili tu hiyo yuzanemu mkuuCc tunataka papa hiyo michango peleka harusini
Hapana namaanisha leo umekuja kama mtu makini ni vyema ukakaa hivo hivo wengine yanawashinda wanamwaga mboga humuu af vijeba vinamwaga ugali wa moto moto na kutangazwa juu.Mbona kama mnanitisha jamani☹️
Nimekuelewa mkuu.Hapana namaanisha leo umekuja kama mtu makini ni vyema ukakaa hivo hivo wengine yanawashinda wanamwaga mboga humuu af vijeba vinamwaga ugali wa moto moto na kutangazwa juu.
Niamini mimi, baba yako kazeekaNikuamini wewe au baba yangu ambae ni member mkongwe hapa?
Wenginee ukame mwingi watetezi ndio ninyiKumbe kwa ukaribu ndo wengine mko hivi!🤫