Hodi huku jamani,Mama V nimekuja

Mmmmh, nahisi Baba V kajiwowa??

he heeeeeeeeeeee, story za huku ndani nyingi ni za kweli except ile ya mimi kunasiana kule TMK ambayo Mungi mpaka leo kashindwa kuleta uthibitisho.....
mimi mzima Baba V hofu kwako......
leo ngoja salamu iishie hapa maana naona umeamua kuleta sungusungu huku, lol! tutaanza kuongea kama tunaandika mitihani sasa, mambo gani haya?
hebu rafiki zangu Madame B, Ciello, cacico, Kongosho, King'asti, gfsonwin Zinduna tujuzane kweli haya mambo ya sungusuungu yanahu hapa?
 
Aaah mukombe chaya uli tena, unawaskiliza watoto hao, hivi vitoto vilivyotoka kwenye balehe juzi ni visumbufu mno kwa wake za watu, vinanichukia kwa kuwa niliweka mfumo ambao ulikuwa unavibana kudandia wake za watu, tena huyo Chilli alimhonga mtaji wote Madame B siku ileile wamekutana Brajec ,leo hana kitu mkongomani papa Chimbuvu na kinshansa kampora anaishia kunichukia mie

Unitue babu weeee
Wakati unanitongoza hukujiju kama una mke ndani?
Najua ma Style yangu ndo yamekukoleza>
 
he heeeeeeeeeeee, story za huku ndani nyingi ni za kweli except ile ya mimi kunasiana kule TMK ambayo Mungi mpaka leo kashindwa kuleta uthibitisho.....
mimi mzima Baba V hofu kwako......
leo ngoja salamu iishie hapa maana naona umeamua kuleta sungusungu huku, lol! tutaanza kuongea kama tunaandika mitihani sasa, mambo gani haya?
hebu rafiki zangu Madame B, Ciello, cacico, Kongosho, King'asti, gfsonwin Zinduna tujuzane kweli haya mambo ya sungusuungu yanahu hapa?

Shoga angu mi nipo hapa nimejaa tele kama pishi la Udaga.
Huyo Baba V na Mkewe jina Mama v wanajishaua nini?
Au tuwaandalie msuto?
 
Last edited by a moderator:
Shoga angu mi nipo hapa nimejaa tele kama pishi la Udaga.
Huyo Baba V na Mkewe jina Mama v wanajishaua nini?
Au tuwaandalie msuto?
mi naona tumkaribishe Mama v kwa msuto shosti, mambo ya kufwatana hadi kwenye vijiwe siyo mazuri ati, atulie nyumbani mumewe atairudisha salama, hakuna ving'ang'anizi huku, lol!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom