Hodi huku jamani,Mama V nimekuja

Hodi huku jamani,Mama V nimekuja

Wapendwa habari zenu,nilikuwa nafuatilia hili jukwaa kama guest kwa muda mrefu,nimeamua kuingia rasmi humu,kama kuna nyumba ndogo za my husband naomba tujuane kabisaa kiroho safi

mbona unataka kujua small hausi?????
 
Mama v, unaposoma post hapo mwisho wa post kulia kuna kidude kimeandikwa like..... hebu fanya majaribio bonyeza hicho kituf utaona maajabu yake.
humu ndani Baba V ni alwatan saaanaaa, nimeona tangazo linasema ki-roho safi sasa sijui uvumilivu wako unafikia wapi......
kwa habari zaidi ngoja waje marafiki zangu woooote wa cc wakupe michapo wakiongozwa na msemaje wetu mlongo wangu snowhite
bora umeniita dada mkubwa! Mama v bora umekuja mwambie mumeo kama anantaka aseme!
 
Last edited by a moderator:
he he heeeeeee, umeamua kumwaga mboga mlongo wangu?
ngoja mtu aje amwage ugali hapa, lol!

ahahahhahahhahaha Baba V takujaje na povu kama la omo kwenye maji ya mvua nakwambia!lol
 
Last edited by a moderator:
nina wasiwasi gani tena mie!
I WILL NEVER WALK ALONE bana!dada mkubwa atakuwa anafanya nini?
hapo nimejijumlisha na mimi mlongo wangu.....
si unajua sisi tuna ushindi kwenye uteja, sasa ugomvi tutauweza kweli? mi sijui, lol!
 
JF bana!! Unaweza ukajiamini kabisa kwa asilimia 100 kwamba wewe ndio mke halali,cheti cha ndoa unacho,pete kilogram za kutosha,LAKINI!!!
Wenzio wanajilia taratibu(wewe wakati umevaa pete,wenzio wamemweka moyoni)!!Karibu sana Mama v
Ushauri wa bure:Uwe mvumilivu !!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom