Hodi huku jamani,Mama V nimekuja

Wapendwa habari zenu,nilikuwa nafuatilia hili jukwaa kama guest kwa muda mrefu,nimeamua kuingia rasmi humu,kama kuna nyumba ndogo za my husband naomba tujuane kabisaa kiroho safi

Asalaam aleykum shemeji !
Tumeshakomfemiwa!
Kriibb sana Jeiefu! Na hapa kuna majukwaa lukuki, naimani unapenda sana siasa na dini unaweza ukabobea tu huko, hapa muache Baba V hawezi toka hapa walishampa na mavyeo mumeo.
 
Last edited by a moderator:
Tunashangaa mwanamke anakuja amebeba furushi kishwani mkononi bonge la kikapu,miguu vumbi tupu,kichwani ushungi,kushangaa mtu anatugongea ktk gari letu na mpenzi wangu Madame B,akatuomba ela ya nauli kumuangalia vizuri tukamfananisha ndo tumeamua tumlete mme wake Baba V amtambue.kwa nini mwananume anakula raha huku mke wake kachoka hivyo jmn?

Wewe dogo acha matusi ya rejareja wewe!, shauri yako,utasutwa wewe pamoja na mkewe
 
Last edited by a moderator:
Tunashangaa mwanamke anakuja amebeba furushi kishwani mkononi bonge la kikapu,miguu vumbi tupu,kichwani ushungi,kushangaa mtu anatugongea ktk gari letu na mpenzi wangu Madame B,akatuomba ela ya nauli kumuangalia vizuri tukamfananisha ndo tumeamua tumlete mme wake Baba V amtambue.kwa nini mwananume anakula raha huku mke wake kachoka hivyo jmn?

Baby I LOVE YOUUUUUUUUUU...............!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hv huyo mmeo Baba V hakupitia jandoni?
Nitaja muharibu shape yake.
Mpe onyo.
Mwambie anikome kunivunjia ndoa yangu.
Anituweeeeeeeeeeee...........!!!!!!!!!!!!!
Mwambie SIMTAKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII...............!!!!!!!!!!!!
Nina wangu.

Hee, kazianza lini hizo tabia!?? hakuwa nazo ati!!
 
Last edited by a moderator:
Asalaam aleykum shemeji !
Tumeshakomfemiwa!
Kriibb sana Jeiefu! Na hapa kuna majukwaa lukuki, naimani unapenda sana siasa na dini unaweza ukabobea tu huko, hapa muache Baba V hawezi toka hapa walishampa na mavyeo mumeo.

Nashukuru sana kwa kunikaribisha shemeji yangu, ija dah, haya maneno mengine duh!, mie majukwaa yote napitapita, pamoja sana!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana kwa kunikaribisha shemeji yangu, ija dah, haya maneno mengine duh!, mie majukwaa yote napitapita, pamoja sana!!!!!!

Shem!
Hembu funguka nikuelewe watatizwa na maneno gani Mama v ?
Nakuona wanung'unikia tumboni tu!
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana kwa kunikaribisha shemeji yangu, ija dah, haya maneno mengine duh!, mie majukwaa yote napitapita, pamoja sana!!!!!!

Ohoo!!!! usiumize kichwa nao hao mamaa, kwani wewe mgeni na mimi, kwa kukusaidia tu huyo unaemskia anaitwa Madame B ndo kibaiskeli cha watu kujifunzia hapa, awali alikuwa mwanamke na heshma zake akaolewa na mwanasheria, kakutana na washenzi wakamfundisha tabia mbaya hadi kaachika, lile domo nusu saa mbele, atachojiskia anatema, hachelewi kunitumia Pm hapa kuwa umefumaniwa, mzoee tu nae ni kiumbe wa MUNGU,tutafanyaje sasa ni wa kumhurumia tu
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha haaah!! Kumbe lile zee ni noma, tusubiri tu kusuluhisha kesi humu ndani.

Aaah mukombe chaya uli tena, unawaskiliza watoto hao, hivi vitoto vilivyotoka kwenye balehe juzi ni visumbufu mno kwa wake za watu, vinanichukia kwa kuwa niliweka mfumo ambao ulikuwa unavibana kudandia wake za watu, tena huyo Chilli alimhonga mtaji wote Madame B siku ileile wamekutana Brajec ,leo hana kitu mkongomani papa Chimbuvu na kinshansa kampora anaishia kunichukia mie
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom