Hodi huku jamani,Mama V nimekuja

Mwambie mumeo akakununulie nguo Mama v,hata na kausafiri maana inasadikika na yeye ni miongoni wa wenye tuakaunti uswisi
 
Last edited by a moderator:
Aaah mukombe chaya uli tena, unawaskiliza watoto hao, hivi vitoto vilivyotoka kwenye balehe juzi ni visumbufu mno kwa wake za watu, vinanichukia kwa kuwa niliweka mfumo ambao ulikuwa unavibana kudandia wake za watu, tena huyo Chilli alimhonga mtaji wote Madame B siku ileile wamekutana Brajec ,leo hana kitu mkongomani papa Chimbuvu na kinshansa kampora anaishia kunichukia mie

We mzee wewe!
We si ndo ulianza kunitilia gundu, mara ooh hatutambuliki, kudo tudo sisi halafu kutambua ututambue wewe, kumbe njama tu na wewe ulikua unamendea sema kijana ya Kinshasa ikatuwahi sote, ha ha ha ha!!
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa habari zenu,nilikuwa nafuatilia hili jukwaa kama guest kwa muda mrefu,nimeamua kuingia rasmi humu,kama kuna nyumba ndogo za my husband naomba tujuane kabisaa kiroho safi

ngoja tuanze kumpima....
Gwe na loli uli nkasi gwa nkulumba gwangu Baba V?
 
Mama v, unaposoma post hapo mwisho wa post kulia kuna kidude kimeandikwa like..... hebu fanya majaribio bonyeza hicho kituf utaona maajabu yake.
humu ndani Baba V ni alwatan saaanaaa, nimeona tangazo linasema ki-roho safi sasa sijui uvumilivu wako unafikia wapi......
kwa habari zaidi ngoja waje marafiki zangu woooote wa cc wakupe michapo wakiongozwa na msemaje wetu mlongo wangu snowhite
 
Last edited by a moderator:
Jhoune , ngamenye ngimba uli nndamu ghwangu!?? ,bhule unkasi mwinangu nkafu??

hapa umenikuna mtima...kwanza shikamoo!!!
ali nkafu, abhana bhosa bhali bhakafu...imbene, inguku syosa si ka nubhubhine na kamo.
 
Mama v, unaposoma post hapo mwisho wa post kulia kuna kidude kimeandikwa like..... hebu fanya majaribio bonyeza hicho kituf utaona maajabu yake.
humu ndani Baba V ni alwatan saaanaaa, nimeona tangazo linasema ki-roho safi sasa sijui uvumilivu wako unafikia wapi......
kwa habari zaidi ngoja waje marafiki zangu woooote wa cc wakupe michapo wakiongozwa na msemaje wetu mlongo wangu snowhite

Waje tu hapa na stori za kweli, kuna njegele mmoja wa Tanga kaja kaharisha mbovu hapa kama ametumwa vile, hujambo lakini FP
 
Last edited by a moderator:
Waje tu hapa na stori za kweli, kuna njegele mmoja wa Tanga kaja kaharisha mbovu hapa kama ametumwa vile, hujambo lakini FP
he heeeeeeeeeeee, story za huku ndani nyingi ni za kweli except ile ya mimi kunasiana kule TMK ambayo Mungi mpaka leo kashindwa kuleta uthibitisho.....
mimi mzima Baba V hofu kwako......
leo ngoja salamu iishie hapa maana naona umeamua kuleta sungusungu huku, lol! tutaanza kuongea kama tunaandika mitihani sasa, mambo gani haya?
hebu rafiki zangu Madame B, Ciello, cacico, Kongosho, King'asti, gfsonwin Zinduna tujuzane kweli haya mambo ya sungusuungu yanahu hapa?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom