Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,710
JF bana!! Unaweza ukajiamini kabisa kwa asilimia 100 kwamba wewe ndio mke halali,cheti cha ndoa unacho,pete kilogram za kutosha,LAKINI!!!
Wenzio wanajilia taratibu(wewe wakati umevaa pete,wenzio wamemweka moyoni)!!Karibu sana Mama v
Ushauri wa bure:Uwe mvumilivu !!!
Sema wote wamekutana ndo walewale kasoro majina ndo maana wanakwenda sawa