Hizi siku nyingine hizi haaa!

Hizi siku nyingine hizi haaa!

Hao bundi utakuwa umewaleta wewe,

Kwa jina la..........USHINDWE NA UTETEMEKE na UPOOZE katikati ya mwili wako tu

Dua kama hizi, hata kwa Babu Loliondo zilikuwepo! Sambamba na kikombe!
Mwisho wa siku kikombe na dua zake viliishia arijojo!
 
kisu kama kile cha kulwa au?
NAULIZA TU!

mamamamamamaaaaaaaaaaaaaa
jamani mbavu zangu mwal khaaaaaaa!
ila sisi hapana naamin hatujawah kuonekana khaa! hivi sijui Kulwa huwaga akikumbuka ishu ya kisu inakuwaje manake mie nikikumbuka nacheka hadi machozi yaatoka mweeeh!
umenizibua akili wewe si hamu.
 
Back
Top Bottom