sasa ndo pakusogelea kwa snowhite upatiwe hivyo.Mburaaaa!
Asee si umefanya sasa naansa hata kubadili mawa-mawaso..........hiyo mchanganyiko wako si unasidi hata Mtori? Nimeupendaje sasa!
Yaani wala sihitaji gari la PA kunihamasisha niende, na hali hii na hivyo vilivyopo huko!
Bishanga atameza mtu bila kumtafuna hapaumemuona enh! mhaya huyu zaid yakahawa a kienyeji anjua nn kingine mwali??
wew unamwambia kahawa ya zaatar na mvule ajulie wapi??
uhayani mivule wanafungwa watoto wachanga eti mizimu isiwasumbue ushamba bana, sijui walikuwa wapi hawa wahaya wakabaki washamba
ahahahhah mwali wanalima vanila lakini kutwa kuiuza ulaya!umemuona enh! mhaya huyu zaid yakahawa a kienyeji anjua nn kingine mwali??
wew unamwambia kahawa ya zaatar na mvule ajulie wapi??
uhayani mivule wanafungwa watoto wachanga eti mizimu isiwasumbue ushamba bana, sijui walikuwa wapi hawa wahaya wakabaki washamba
hebu kwanza karibu ukoge maji ya moto yenye karafuu kidogo!kisha kahwa na maamri yanakusubiri! Bishanga kaa kushoto!
Hizi habari si ntakuwa siendi kazini mie, na maji ntaanza kuyaita MMAAA?! Mweh!