Hizi habari si ntakuwa siendi kazini mie, na maji ntaanza kuyaita MMAAA?! Mweh!
bora mwali ukatulize hasira za sweetlo wako!swtlo.........uzuri wako ni mmoja tu, uwaga unajua wapi uonekane.
sasa leo natoka mapema hii nikawah kuandaa maamri na chai ya mdalasini wangu usisikie baridi.
cc snowhite
kwanza leo ijumaa!
hujazitengeneza wiki nzima utatengeneza leo!
kiiisa?
ukisha kuna mkeka hapo barazani wakusubiri!
Rabhekah! Si wajua kwako mi........................!
Binadamu kaumbiwa hila, tena na dukuduku moyoni,
msuli wa kikoi wamsubiri!hahahahhah! mkeka ulonakshiwa kipwani ukasomek "karibu mpenzi"
chai ilotiwa kwenye birika ya kiarabu na kikombe chake kilichonakshiwa.........
maamri yalotiwa iliki na nazi ikakolea .............
chai ya mdalasini na iliki............khaaaa! msuli umemwandalia lkn??
manake raha ya mkekani shurti iwe kwa msuli na khanga mwali.
Hila zao wanadamu,situnyime raha barazaniBinadamu kaumbiwa hila, tena na dukuduku moyoni,
Simsemi huyu aliyesema hapo, nisijemgusa sis moyoni,
Nawasema hao wengine, waliobaki mafichoni,
Sie twayafanya yetu, hapa peupe barazani.
Wao wafiche yao, siye yetu twaweka wazi,Hila zao wanadamu,situnyime raha barazani
Mengi yapo kwa kaumu,vile tu hawasemi
Baraza leo ni letu,nini tujitie indani
Yetu tunayanyoosha,wao wabaki na nyongo.
Kiwajibu na zaidi ,wapoteza yetu haliWao wafiche yao, siye yetu twaweka wazi,
Kwani alopenda Mola, binadamu katu hawezi,
Mkulima lake jembe, nazi aachiwe mkwezi,
Hata kama wataguna, sie twazidi weka pozi
uwiiiiiiiiiiiiii
naomba kuuliza jamani hivi M'Jr umeaga vyema kwenu??
wallah utamuua mchaga wa watu mi simo.
usijaaaali tukitoka hapa twaenda kusalimia wazee na kuwalimia kihamba partner!Hahahahaa, tena wakati naaga alichinjwa mbuzi, likapigwa boonge la dua la kimila nikaambiwa "Nenda baba katafute, ila tu usitusahau"
Sis NIMEAGA!
Ya kazini nimeyatupa, jicho langu lilipokuona,Kiwajibu na zaidi ,wapoteza yetu hali
Karibia mkekani ,nyoosha tua wako mwili
Ya kazini tia kapuni,ya kaumu tupa hewani
Karibu vya mkekani,ufunue vya kawani!
hahahahhah! mkeka ulonakshiwa kipwani ukasomek "karibu mpenzi"
chai ilotiwa kwenye birika ya kiarabu na kikombe chake kilichonakshiwa.........
maamri yalotiwa iliki na nazi ikakolea .............
chai ya mdalasini na iliki............khaaaa! msuli umemwandalia lkn??
manake raha ya mkekani shurti iwe kwa msuli na khanga mwali.