serengo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 488
- 362
Hizi mbegu nazifahamu kwa lugha ya kisukuma zinaitwa( Bhurunga) kazi yake ni Tiba ya macho,ukimeza hizo mbegu hutaugua macho milele, tulikuwa tunameza enzi hizo tukiwa machungani, na miti yake huwa inalanda kama maua siyo mti mkubwa.Habari za mchana mabibi na mabwana jamvini hapa?
Hizi hapa chini ni mbegu za mmea gani na zina kazi gani? Nikiwa mdogo nilikuwa naziona kwa bibi yangu, na alikuwa anazitunza sana.
Sikuwahi kufikiria kuwa ni mbegu za mti, wala sikuwahi kumuuliza kazi yake. Sasa hivi karibuni nikauona huo mmea mahali fulani na mbegu zake hizo, nikagundua kumbe hizo ni mbegu za mme. Bahati mbaya bibi yangu kwa sasa ni marehemu.
Je hizo mbegu ni za mmea wa aina gani na kazi yake ni nini?