Sayansi ya wapi hiiZinaitwa Sipo, ukimeza mbegu hizo ni kinga ya ugonjwa wa macho!!
Yaani hutaumwa na macho(red eyes) tena!!
Kweli kabisa sio sumu hata me nishameza sana hizo mbegu na sijawah dhurikasina muda wa kupoteza kusoma nina vitu vya kusoma hapa JF
kipindi nina miaka 12 kurudi chini kama sijakosea
huo mti ulikuwa uwani kwetu na babu yangu alikuwa akitumia kama dawa kwa mambo yake ya uganga
pia enzi hizo za utoto tulishameza sana hizo mbegu yani sanaaa tulikuwa tukiongopeana kwamba ni dawa
mpaka sasa nna miaka 20+ sijawahi pata athari yeyote halafu unasema nini?? acha kupotosha watu na tafiti zenu za ovyo
[HASHTAG]#Hoja[/HASHTAG]
Sijui kama ukweli,sisi utotoni hizi mbegu tumezimeza sana,hatukuumwa matumbo wala kichwa,vinginevyo sumu yake ya kudhuru polepole uzeenicharminglady
HIZO MBEGU ZINATUMIKA SANA NA KUTENGENEZA UREMBO WA SHANGA. ILA, NARUDIA ILA, HIZO MBEGU NI SUMU NA UKIZIONA WEKA MBALI SANA NA WATOTO NA ZINAWEZA KULETA MADHARA HATA KWA WATU WAZIMA PIA. NA SI MTI NI ILE MIMEA YA KAMBA KAMBA INAOTA KWA KASI SANA NA KUJAZANA SEHEMU MOJA KWA KUTAMBAA.
MAJANI YAKE YANAFANANA NA ILE MIMEA UKISHIKA MAJANI YAKE YANASINZIA HIVI. HIVYO USIJARIBU KUWEKA MDOMONI UTADHURIKA.
ila watu mlistahili muwe wachekeshaji ujueMkuu unafanya kazi CORAL PAINTS?Mbona ma rangi rangi kwenye sentensi hapo.