Hizi ni mbegu za mmea gani?

Hizi ni mbegu za mmea gani?

Kwetu tunaziita sumu ya penzi kudadadeki unaichukua mbegu unaiweka kwenye kwapa afu unamuibukia demu yeyote hata kama ni beyonce au rihana lazma akubali
 
charminglady

HIZO MBEGU ZINATUMIKA SANA NA KUTENGENEZA UREMBO WA SHANGA. ILA, NARUDIA ILA, HIZO MBEGU NI SUMU NA UKIZIONA WEKA MBALI SANA NA WATOTO NA ZINAWEZA KULETA MADHARA HATA KWA WATU WAZIMA PIA. NA SI MTI NI ILE MIMEA YA KAMBA KAMBA INAOTA KWA KASI SANA NA KUJAZANA SEHEMU MOJA KWA KUTAMBAA.

MAJANI YAKE YANAFANANA NA ILE MIMEA UKISHIKA MAJANI YAKE YANASINZIA HIVI. HIVYO USIJARIBU KUWEKA MDOMONI UTADHURIKA.
Mimi nimekulia vijijini huko... Lengo langu hapa sio kupinga bali nami kutoa ushuhuda juu ya hizo mbegu. Kwa sehemu niliyowahi kuishi nikiwa mdogo hizo mbegu tulikua tunaziita vimwelu. Ni kweli zinatokana na mmea unaotambaa japo sijui jina la mmea wenyewe. Tukiwa wadogo tumechezea sn hizo mbegu, tumeziweka mdomoni na hata kuzimeza pia. Kulikua na imani pia ukimeza hizi mbegu hautaumwa macho kwa miaka sawa na idadi ya mbegu ulizomeza. Hata hivyo kila mtu ana imani yake.
 
Ninachojua mimi majani ya mmea huo ni dawa ya kichefuchefu na kikohozi. Unayachuma na kuyatafuna na yana utamu fulani.
 
Habari za mchana mabibi na mabwana jamvini hapa?

Hizi hapa chini ni mbegu za mmea gani na zina kazi gani? Nikiwa mdogo nilikuwa naziona kwa bibi yangu, na alikuwa anazitunza sana.

Sikuwahi kufikiria kuwa ni mbegu za mti, wala sikuwahi kumuuliza kazi yake. Sasa hivi karibuni nikauona huo mmea mahali fulani na mbegu zake hizo, nikagundua kumbe hizo ni mbegu za mme. Bahati mbaya bibi yangu kwa sasa ni marehemu.

Je hizo mbegu ni za mmea wa aina gani na kazi yake ni nini?

View attachment 462973 View attachment 462974 View attachment 462975 View attachment 462977 View attachment 462978 View attachment 462699

Ukiona wazungu wanapinga sana jambo fulani tena kwa tafiti fake kama hizi jua hilo jambo lina faida kubwa mno. Huenda hizo mbegu ni tiba na kinga za magonjwa mengi sugu na hawataki mjue. Usikute pengine ni dawa ya HIV au Cancer....nawaza tu.
 
Habari za mchana mabibi na mabwana jamvini hapa?

Hizi hapa chini ni mbegu za mmea gani na zina kazi gani? Nikiwa mdogo nilikuwa naziona kwa bibi yangu, na alikuwa anazitunza sana.

Sikuwahi kufikiria kuwa ni mbegu za mti, wala sikuwahi kumuuliza kazi yake. Sasa hivi karibuni nikauona huo mmea mahali fulani na mbegu zake hizo, nikagundua kumbe hizo ni mbegu za mme. Bahati mbaya bibi yangu kwa sasa ni marehemu.

Je hizo mbegu ni za mmea wa aina gani na kazi yake ni nini?

View attachment 462973 View attachment 462974 View attachment 462975 View attachment 462977 View attachment 462978 View attachment 462699
Hizo hapo mwanzo kabisa majani yake ni dawa ya kikohozi nimeyatafuna sana enzi nikiwa mdogo yana kautamu fulani amazing hivi na hizo mbegu kwa wale ndugu zetu wakatoliki ndio wanaozitumia kutengenezea kayamba zile zinazopigwa kanisani wakati wakiimba kwa nje zinasukwa kwa mti wa mianza vidogo vidogo ndani ndio huwekwa hizo mbegu na hutoa mlio mzuri na mkubwa
 
Mbona kila mtu kwenye hii thread hizi dawa anazihusisha na BIBI tuu? Kwanini isiwe MAMA,SHANGAZI AU HATA MJOMBA?
Kipindi cha miaka ya nyuma kidogo wengi wetu tulilelewa na bibi na babu hata kama si muda mrefu lkn siku hizi watoto wetu tunalelewa na shule za bweni au wasichana wanaotusaidia kazi za nyumbani.
 
Nataka kumeza tena nyingine, ni dawa, niliambiwa hivyo utotoni na sikuugua macho katu so kila nikikutanaga nazo sehemu, nameza!!
IMG_20170123_102758.jpeg
 
Attachments

  • IMG_20170123_102841.jpeg
    IMG_20170123_102841.jpeg
    36.6 KB · Views: 62
charminglady

HIZO MBEGU ZINATUMIKA SANA NA KUTENGENEZA UREMBO WA SHANGA. ILA, NARUDIA ILA, HIZO MBEGU NI SUMU NA UKIZIONA WEKA MBALI SANA NA WATOTO NA ZINAWEZA KULETA MADHARA HATA KWA WATU WAZIMA PIA. NA SI MTI NI ILE MIMEA YA KAMBA KAMBA INAOTA KWA KASI SANA NA KUJAZANA SEHEMU MOJA KWA KUTAMBAA.

MAJANI YAKE YANAFANANA NA ILE MIMEA UKISHIKA MAJANI YAKE YANASINZIA HIVI. HIVYO USIJARIBU KUWEKA MDOMONI UTADHURIKA.
Si kweli kama hujui uliza mdau hayo majani nimeyala sana na ni dawa nzuri ya kifua enzi hizo tulikuwa hatujua cha mucolyn syr wala kofylin syr kama kifua ni cha kawaida na hakiumi unakohoa tu kwa ajili ya ubaridi hiyo ndio ilikuwa dawa mujarabu kuitumia na hatujafa mpaka leo tupo hizo mbegu ukizipata kwa wingi mpelekee mwalimu wa kwaya yeyote wa katoliki atakushukuru sana
 
Zinaitwa msikesike.Hilo jina nililisikia huko Mwanza.Tulikuwa tunazichezea kwenye mchanga.Unaweka mafungu ya mchanga kadhaa kisha unaficha mbegu moja kwenye hayo mafungu ya mchanga halafu unamwambia mwenzako achague fungu lenye hiyo mbegu.
Wewe Na Mimi tulizichezea mchezo mmoja ingawa majina yanatofautiana.
Wakati tukiwa wadogo maeneo ya Vingunguti tulikuwa tunaziita SIPO.
 
charminglady

HIZO MBEGU ZINATUMIKA SANA NA KUTENGENEZA UREMBO WA SHANGA. ILA, NARUDIA ILA, HIZO MBEGU NI SUMU NA UKIZIONA WEKA MBALI SANA NA WATOTO NA ZINAWEZA KULETA MADHARA HATA KWA WATU WAZIMA PIA. NA SI MTI NI ILE MIMEA YA KAMBA KAMBA INAOTA KWA KASI SANA NA KUJAZANA SEHEMU MOJA KWA KUTAMBAA.

MAJANI YAKE YANAFANANA NA ILE MIMEA UKISHIKA MAJANI YAKE YANASINZIA HIVI. HIVYO USIJARIBU KUWEKA MDOMONI UTADHURIKA.
Sametime mmea wake ni dawa sana inategemea umechanganya na kitu gani na kwa matumizi yapi
 
kwani we ni mmasai gani hapo juu..
huyo wa kwanza au wa pili?
 
Habari za mchana mabibi na mabwana jamvini hapa?

Hizi hapa chini ni mbegu za mmea gani na zina kazi gani? Nikiwa mdogo nilikuwa naziona kwa bibi yangu, na alikuwa anazitunza sana.

Sikuwahi kufikiria kuwa ni mbegu za mti, wala sikuwahi kumuuliza kazi yake. Sasa hivi karibuni nikauona huo mmea mahali fulani na mbegu zake hizo, nikagundua kumbe hizo ni mbegu za mme. Bahati mbaya bibi yangu kwa sasa ni marehemu.

Je hizo mbegu ni za mmea wa aina gani na kazi yake ni nini?

View attachment 462973 View attachment 462974 View attachment 462975 View attachment 462977 View attachment 462978 View attachment 462699
'I think they are oleander seeds'
 
Back
Top Bottom