Hizi ni mbegu za mmea gani?

Hizi ni mbegu za mmea gani?

kwa ukanda wa kusini hususani Njombe na Iringa mbegu hizi ni za mti mmoja unaitwa mheve unamajani mapana yenye umbo la mviringo mti huu hutimika kutengeneza matairi ya mikokoteni na baiskeli za miti kwa kilugha (bagadu)
 
Nilizichezea zamani kwa kuzitumia kama macho katika midoli ya matope nikiyokuwa natengeneza
 
kwa ukanda wa kusini hususani Njombe na Iringa mbegu hizi ni za mti mmoja unaitwa mheve unamajani mapana yenye umbo la mviringo mti huu hutimika kutengeneza matairi ya mikokoteni na baiskeli za miti kwa kilugha (bagadu)
Njoo nikupe lifti ya kibagadu veyaa,
 
MTU MZIMA MWENYE KUJIHESHIMU ANAJIBU MTU KAMA ULIVYOJIBU WEWE?

MIMI NIMESEMA NI SUMU NA NIWEKA USHAHIDI WA UTAFITI ULIOFANYWA KUHUSU HIZO MBEGU

ILA WEWE UNAASHINDWA KULETA USHAHIDI ILA UNAANZA KUNISHUTUMU MIMI

WEWE ULICHOTAKIWA KUSEMA SIYO KWELI USHAHIDI HUU HAPA BADALA YA KUANZA KUMKOSEA MTU HESHIMA

UWE NA USIKU MWEMA ILA TAMBUA URUHUSIWI KUKOSOWA AU KUTUKANA WATU KAMA HUNA USHAHIDI SAWA

TUNZA HESHIMA NA WEWE UTUNZIWE HESHIMA NDUGU YANGU
Mkuu mbona umepanic? Uwe na amani tu ila wengi wamezimeza hizo mbegu na hawakufa! So sidhani kama kuna ushahidi zaidi ya huo, bila shaka wewe unaongelea mbegu zingine kabisa na sio hizi,

One love.
 
Zinaitwa msikesike.Hilo jina nililisikia huko Mwanza.Tulikuwa tunazichezea kwenye mchanga.Unaweka mafungu ya mchanga kadhaa kisha unaficha mbegu moja kwenye hayo mafungu ya mchanga halafu unamwambia mwenzako achague fungu lenye hiyo mbegu.
Hahahaaa!! Mkuu umenikumbusha kitambo sana aisee! Hata mimi niliucheza huo mchezo wa kuficha mbegu moja kwenye mafungu ya mchanga kisha unamwambia mwenzako achague fungu lenye hiyo mbegu, akichagua fungu ambalo haipo hiyo mbegu unamwambia "Hola umekosa au umeunywa"
 
sina muda wa kupoteza kusoma nina vitu vya kusoma hapa JF
kipindi nina miaka 12 kurudi chini kama sijakosea
huo mti ulikuwa uwani kwetu na babu yangu alikuwa akitumia kama dawa kwa mambo yake ya uganga
pia enzi hizo za utoto tulishameza sana hizo mbegu yani sanaaa tulikuwa tukiongopeana kwamba ni dawa
mpaka sasa nna miaka 20+ sijawahi pata athari yeyote halafu unasema nini?? acha kupotosha watu na tafiti zenu za ovyo
[HASHTAG]#Hoja[/HASHTAG]
Hata mimi nilipokuwa mdogo nilikuwa naziona na bibi alikuwatupa tumezee alikuwa anasema ni kinga.
lkn siku nyingi sijaziona hata zinavyoitwa nimeshasahau.
 
Kigoma tunauita mturuturu, ni dawa ngoja nimuulize BIBI kwanza
 
Zinaitwa WILULI kwa lugha ya ngosha the Don.
Ni urembo pia zinatumika kutengeneza ala fulani ya mziki kwa wakatolika walioimba kwaya enzi za mwalimu wanazikumbuke. Aisee ukishika ila unakunja upande kidogo halafu unaanza kuichezea ile ala unaona upako unashuka.
 
Inaitwa kayamba
 
MTU MZIMA MWENYE KUJIHESHIMU ANAJIBU MTU KAMA ULIVYOJIBU WEWE?

MIMI NIMESEMA NI SUMU NA NIWEKA USHAHIDI WA UTAFITI ULIOFANYWA KUHUSU HIZO MBEGU

ILA WEWE UNAASHINDWA KULETA USHAHIDI ILA UNAANZA KUNISHUTUMU MIMI

WEWE ULICHOTAKIWA KUSEMA SIYO KWELI USHAHIDI HUU HAPA BADALA YA KUANZA KUMKOSEA MTU HESHIMA

UWE NA USIKU MWEMA ILA TAMBUA URUHUSIWI KUKOSOWA AU KUTUKANA WATU KAMA HUNA USHAHIDI SAWA
huna jipya wewe, ulinisumbua sana mchana wewe na tafiti zenu za hovyo kisa umetoa google
hata google kuna waongo pia
watu si chini ya 40 wamekula hizo mbegu sijui vitunda utajua mwenyewe, ila hutaki kuamini unataka ushadi sasa unataka ushahidi wa rangi gani???
acha kupanic braza ukiona unashindwa hoja kojoa ukalale
hata Chadema wanakimbiaga bunge hoja zikiwaishia
wewe huna tofauti na mtu anaebishana na redio atii jitu bishi kama nini
toa hoja si kuweka taarabu hapa
acha uongo sisi wote ni watu wazima
 
Hata mimi nilipokuwa mdogo nilikuwa naziona na bibi alikuwatupa tumezee alikuwa anasema ni kinga.
lkn siku nyingi sijaziona hata zinavyoitwa nimeshasahau.
of coz ni kinga ya macho
wewe mama chupaki unamjua Ostadh Shaban?? "Ticha wa kule temeke"
 
Habari za mchana mabibi na mabwana jamvini hapa?

Hizi hapa chini ni mbegu za mmea gani na zina kazi gani? Nikiwa mdogo nilikuwa naziona kwa bibi yangu, na alikuwa anazitunza sana.

Sikuwahi kufikiria kuwa ni mbegu za mti, wala sikuwahi kumuuliza kazi yake. Sasa hivi karibuni nikauona huo mmea mahali fulani na mbegu zake hizo, nikagundua kumbe hizo ni mbegu za mme. Bahati mbaya bibi yangu kwa sasa ni marehemu.

Je hizo mbegu ni za mmea wa aina gani na kazi yake ni nini?
Hizo mbegu enzi za utoto nilikuwa naziita macho ya katuni kama vile tom na jery
 
Hahahaaa!! Mkuu umenikumbusha kitambo sana aisee! Hata mimi niliucheza huo mchezo wa kuficha mbegu moja kwenye mafungu ya mchanga kisha unamwambia mwenzako achague fungu lenye hiyo mbegu, akichagua fungu ambalo haipo hiyo mbegu unamwambia "Hola umekosa au umeunywa"
Basi tamaduni zinafana maeneo mengi. Ukitaja numbi numbi kule kusini basi hasa kazi yake ni ya mchezo wa kuficha. Kwa kule kusini zipo za aina mbili, hiyo ndogo yenye jicho jeusi na wekundu na nyingine ni kubwa kidogo na rangi nyekundu yoteee.
 
charminglady

HIZO MBEGU ZINATUMIKA SANA NA KUTENGENEZA UREMBO WA SHANGA. ILA, NARUDIA ILA, HIZO MBEGU NI SUMU NA UKIZIONA WEKA MBALI SANA NA WATOTO NA ZINAWEZA KULETA MADHARA HATA KWA WATU WAZIMA PIA. NA SI MTI NI ILE MIMEA YA KAMBA KAMBA INAOTA KWA KASI SANA NA KUJAZANA SEHEMU MOJA KWA KUTAMBAA.

MAJANI YAKE YANAFANANA NA ILE MIMEA UKISHIKA MAJANI YAKE YANASINZIA HIVI. HIVYO USIJARIBU KUWEKA MDOMONI UTADHURIKA.
Mkuu unafanya kazi CORAL PAINTS?Mbona ma rangi rangi kwenye sentensi hapo.
 
genacide Mankey Snipes

MIAKA 55 YA UHURU WA TAIFA HILI, NA TUNA MITO, MABONDE NA MADINI AINA NYINGI NA WATU MILIONI 45 NA ASILIMIA 75 KATI YAO NI VIJANA LAKINI TAIFA LIPO HAPA LILIPO SABABU MOJA TU;

VIJANA WENGI WANAJIONA WANAJUA KILA KITU HUKU HAWAJUI KUWA HAWAJUI NA HILO NDIYO UGONJWA MKUBWA UNAOSABABISHA TAIFA HILI KUWA HAPA TULIPO LEO.

INASIKITISHA SANA KUONA VIJANA WA TAIFA HILI MNAKUWA NA ACCESS NA MITANDAO LAKINI HAMJUI KUITUMIA KUJUA VITU NYIE NI MAGROUP YA WHATSAPP NA INSTAGRAM KUJUA UMBEA NA DIAMOND NA KIBA WANAFANYA NINI

KINACHOUMIZA ZAIDI NI GRADUATES WENGI WENU VERY VERY SAD

YOU DONT READ NEITHER RESEARCH NI KU-ABSORB MAMBO YASIYO NA MAANA

YOU ARE IGNORANCE WONT TAKE YOU ANYWHERE AND THIS IS MY LAST POST TALKING TO PEOPLE WHO ARE NOT MY LEVEL

IF YOU STRUGGLE TO UNDERSTAND THE ARTICLES, PLEASE ASK FOR HELP I KNOW THAT WILL BE THE FIRST CHALLENGE YOU ARE GOING TO FACE

JUMAPILI NJEMA NGUMBARU
Safi sana mkuu ujumbe umefika.
 
Back
Top Bottom