Kwa kisukuma tuliziita bhosalozena (shanga za Zena) wanawake walikuwa wanazitoboa na kuzifunga kwenye uzi baadae kiunoni tayari kukuingiza mjini usiku,mmea ulikuwa unatambaa kwenye miti mingine. Umenikumbusha mbaaaaaaaliHabari za mchana mabibi na mabwana jamvini hapa?
Hizi hapa chini ni mbegu za mmea gani na zina kazi gani? Nikiwa mdogo nilikuwa naziona kwa bibi yangu, na alikuwa anazitunza sana.
Sikuwahi kufikiria kuwa ni mbegu za mti, wala sikuwahi kumuuliza kazi yake. Sasa hivi karibuni nikauona huo mmea mahali fulani na mbegu zake hizo, nikagundua kumbe hizo ni mbegu za mme. Bahati mbaya bibi yangu kwa sasa ni marehemu.
Je hizo mbegu ni za mmea wa aina gani na kazi yake ni nini?
Kwa kisukuma tuliziita bhosalozena (shanga za Zena) wanawake walikuwa wanazitoboa na kuzifunga kwenye uzi tayari kukuingiza mjini usiku,mmea ulikuwa unatambaa kwenye miti mingine. Umenikumbusha mbaaaaaaali
Huu mchezo tuliita kimwekuZinaitwa msikesike.Hilo jina nililisikia huko Mwanza.Tulikuwa tunazichezea kwenye mchanga.Unaweka mafungu ya mchanga kadhaa kisha unaficha mbegu moja kwenye hayo mafungu ya mchanga halafu unamwambia mwenzako achague fungu lenye hiyo mbegu.
Sana tu mheshimiwa japo nimeongezea maneno kidogo (edit)WEWE NDUGU YANGU UNAZIJUA KWELIKWELI KUNA MTU ANASEMA ZINAPATIKANA KWENYE MTI...😀😀😀😀😀😀
Ni kweli mkuu kama ulivyosema mti wake ulivyo ila kugusu sumu kidogo sielewi mana hata huko mikoani hua inajiotea yenyewe na sijawahi kusikia wakisema ni sumucharminglady
HIZO MBEGU ZINATUMIKA SANA NA KUTENGENEZA UREMBO WA SHANGA. ILA, NARUDIA ILA, HIZO MBEGU NI SUMU NA UKIZIONA WEKA MBALI SANA NA WATOTO NA ZINAWEZA KULETA MADHARA HATA KWA WATU WAZIMA PIA. NA SI MTI NI ILE MIMEA YA KAMBA KAMBA INAOTA KWA KASI SANA NA KUJAZANA SEHEMU MOJA KWA KUTAMBAA.
MAJANI YAKE YANAFANANA NA ILE MIMEA UKISHIKA MAJANI YAKE YANASINZIA HIVI. HIVYO USIJARIBU KUWEKA MDOMONI UTADHURIKA.
BABUU ACHA KUWAZUGA WATU HAKUNA MADHARA KWA MTU ATAKAE MEZA HIZZO MBEGU, KWA KIFUPI HIZO MBEGU KWA KULE KWETU KIGOMA ZINA FAHAMIKA KWA JINA LA (MTURUTURU) TUME YACHEZEA SANA ENZI HIZO TUKIWA WADOGO NA NIME YAMEZA MNO HAYO MATURUTURU WALA ATA SIKUWAHI KUDHURIKA KIAFYA....charminglady
HIZO MBEGU ZINATUMIKA SANA NA KUTENGENEZA UREMBO WA SHANGA. ILA, NARUDIA ILA, HIZO MBEGU NI SUMU NA UKIZIONA WEKA MBALI SANA NA WATOTO NA ZINAWEZA KULETA MADHARA HATA KWA WATU WAZIMA PIA. NA SI MTI NI ILE MIMEA YA KAMBA KAMBA INAOTA KWA KASI SANA NA KUJAZANA SEHEMU MOJA KWA KUTAMBAA.
MAJANI YAKE YANAFANANA NA ILE MIMEA UKISHIKA MAJANI YAKE YANASINZIA HIVI. HIVYO USIJARIBU KUWEKA MDOMONI UTADHURIKA.
Busalu zenaHabari za mchana mabibi na mabwana jamvini hapa?
Hizi hapa chini ni mbegu za mmea gani na zina kazi gani? Nikiwa mdogo nilikuwa naziona kwa bibi yangu, na alikuwa anazitunza sana.
Sikuwahi kufikiria kuwa ni mbegu za mti, wala sikuwahi kumuuliza kazi yake. Sasa hivi karibuni nikauona huo mmea mahali fulani na mbegu zake hizo, nikagundua kumbe hizo ni mbegu za mme. Bahati mbaya bibi yangu kwa sasa ni marehemu.
Je hizo mbegu ni za mmea wa aina gani na kazi yake ni nini?
Kabisaaaa na zinasaidia pia nguvu ya kiume na hata kuongexa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawakeZinaitwa Sipo, ukimeza mbegu hizo ni kinga ya ugonjwa wa macho!!
Yaani hutaumwa na macho(red eyes) tena!!
Sio kweli kabisa ni uzushi mkubwa sana kama ni kifo naona mimi nipo kabulinicharminglady
HIZO MBEGU ZINATUMIKA SANA NA KUTENGENEZA UREMBO WA SHANGA. ILA, NARUDIA ILA, HIZO MBEGU NI SUMU NA UKIZIONA WEKA MBALI SANA NA WATOTO NA ZINAWEZA KULETA MADHARA HATA KWA WATU WAZIMA PIA. NA SI MTI NI ILE MIMEA YA KAMBA KAMBA INAOTA KWA KASI SANA NA KUJAZANA SEHEMU MOJA KWA KUTAMBAA.
MAJANI YAKE YANAFANANA NA ILE MIMEA UKISHIKA MAJANI YAKE YANASINZIA HIVI. HIVYO USIJARIBU KUWEKA MDOMONI UTADHURIKA.
Duh! Umenikumbusha mbali sana me nilizimeza miaka ya 2000 mpaka leo sijaugua machoZinaitwa msikesike.Hilo jina nililisikia huko Mwanza.Tulikuwa tunazichezea kwenye mchanga.Unaweka mafungu ya mchanga kadhaa kisha unaficha mbegu moja kwenye hayo mafungu ya mchanga halafu unamwambia mwenzako achague fungu lenye hiyo mbegu.
Yapo hata mimi nazifahamu kwa jina la sipo (kwa mikoa ya Pwani) .Nilishazimeza sana utotoni na hazina madhara kama watu wanvyosema kwa imani kwamba zina kinga dhidi ya mahonjwa ya macho.Zinaitwa Sipo, ukimeza mbegu hizo ni kinga ya ugonjwa wa macho!!
Yaani hutaumwa na macho(red eyes) tena!!