Hizi ni mbegu za mmea gani?

Hizi ni mbegu za mmea gani?

Ni majani tu ya porini

Kuna kipindi site yaliota kibaaaao yalikuja na mchanga nadhani

Mbegu zake zinqpokauka ndipo zinpogeuka na kupata rangi hiyo

Kama nikiyaona (nikikumbuka) nitakupigia picha mmea wake
 
Habari za mchana mabibi na mabwana jamvini hapa?

Hizi hapa chini ni mbegu za mmea gani na zina kazi gani? Nikiwa mdogo nilikuwa naziona kwa bibi yangu, na alikuwa anazitunza sana.

Sikuwahi kufikiria kuwa ni mbegu za mti, wala sikuwahi kumuuliza kazi yake. Sasa hivi karibuni nikauona huo mmea mahali fulani na mbegu zake hizo, nikagundua kumbe hizo ni mbegu za mme. Bahati mbaya bibi yangu kwa sasa ni marehemu.

Je hizo mbegu ni za mmea wa aina gani na kazi yake ni nini?
Bila shaka zitakuwa za mti Wa kati
 
Nimepna pia ktk link ulizoweka.
Ni hatari halafu watoto wanapenda kweli kuzichezea

LAKINI KUNA WAWILI HUMU WANAJARIBU KUITA HATA WATU MAJINA HUKU HAWAJUI CHOCHOTE KUHUSU HIZO MBEGU
 
Wengine wanasema hizo mbegu ni sumu
Waongo tu na wengine Wamezaliwa mjini hivyo hawajawahi kuziona zaidi ya kusoma utafiti uchwara!.

Ukitafuna Majani ya mti wake utasikia ladha yenye asili ya Chumvichumvi na tamu ambayo hutumika kutibu kikohozi!!.
Kwa Maeneo ya Dar es salaam unapatikana Mabwepande na kinondo!
 
charminglady

HIZO MBEGU ZINATUMIKA SANA NA KUTENGENEZA UREMBO WA SHANGA. ILA, NARUDIA ILA, HIZO MBEGU NI SUMU NA UKIZIONA WEKA MBALI SANA NA WATOTO NA ZINAWEZA KULETA MADHARA HATA KWA WATU WAZIMA PIA. NA SI MTI NI ILE MIMEA YA KAMBA KAMBA INAOTA KWA KASI SANA NA KUJAZANA SEHEMU MOJA KWA KUTAMBAA.

MAJANI YAKE YANAFANANA NA ILE MIMEA UKISHIKA MAJANI YAKE YANASINZIA HIVI. HIVYO USIJARIBU KUWEKA MDOMONI UTADHURIKA.
Apana wewe muongo sio sumu izo unakula kadli utakavo azina madhala
 
Tulikuwa tunakula sana shulen zipo mbeya unaloweka kwenye maji ya moto zinatoa maziwa unakula mbegu unatupa!
 
charminglady

HIZO MBEGU ZINATUMIKA SANA NA KUTENGENEZA UREMBO WA SHANGA. ILA, NARUDIA ILA, HIZO MBEGU NI SUMU NA UKIZIONA WEKA MBALI SANA NA WATOTO NA ZINAWEZA KULETA MADHARA HATA KWA WATU WAZIMA PIA. NA SI MTI NI ILE MIMEA YA KAMBA KAMBA INAOTA KWA KASI SANA NA KUJAZANA SEHEMU MOJA KWA KUTAMBAA.

MAJANI YAKE YANAFANANA NA ILE MIMEA UKISHIKA MAJANI YAKE YANASINZIA HIVI. HIVYO USIJARIBU KUWEKA MDOMONI UTADHURIKA.
Acha uongo hazina sumu, tukiwa wadogo tulikuwa tunazimeza hizo tukidanganyana kuwa ukimeza mbegu moja utakaa mwaka mmoja bila kuumwa macho. Nikimeza hizo hadi kumi na sikufa.
 
Habari za mchana mabibi na mabwana jamvini hapa?

Hizi hapa chini ni mbegu za mmea gani na zina kazi gani? Nikiwa mdogo nilikuwa naziona kwa bibi yangu, na alikuwa anazitunza sana.

Sikuwahi kufikiria kuwa ni mbegu za mti, wala sikuwahi kumuuliza kazi yake. Sasa hivi karibuni nikauona huo mmea mahali fulani na mbegu zake hizo, nikagundua kumbe hizo ni mbegu za mme. Bahati mbaya bibi yangu kwa sasa ni marehemu.

Je hizo mbegu ni za mmea wa aina gani na kazi yake ni nini?
Ndilolo.
 
Acha uongo hazina sumu, tukiwa wadogo tulikuwa tunazimeza hizo tukidanganyana kuwa ukimeza mbegu moja utakaa mwaka mmoja bila kuumwa macho. Nikimeza hizo hadi kumi na sikufa.

LABDA BADALA YA KUTIBU MACHO, ZINASIMAMISHA UBONGO KUFANYA KAZI UWEZI JUA KILA KITU KINAWEZEKANA AU SIYO? 😀😀 😀😀😀😀😀 😀😀😀.....
 
Zinaitwa Sipo, ukimeza mbegu hizo ni kinga ya ugonjwa wa macho!!
Yaani hutaumwa na macho(red eyes) tena!!
ni kweli kabisa hizi zinaitwa sipo, nakumbuka sana tulipokuwa wadogo tulikuwa tunazichezea tu (nadhani tulipenda rangi zake!) lakini sikuwahi kufahabu hiyo medicinal value yake. Umenikumbusha mbali sana, karibu miaka 35 nyuma!😀😀
 
Back
Top Bottom