The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,053
- 117,568
Nimezitumia sana hizo mkuu kutengenezea kayamba kanisani.charminglady
HIZO MBEGU ZINATUMIKA SANA NA KUTENGENEZA UREMBO WA SHANGA. ILA, NARUDIA ILA, HIZO MBEGU NI SUMU NA UKIZIONA WEKA MBALI SANA NA WATOTO NA ZINAWEZA KULETA MADHARA HATA KWA WATU WAZIMA PIA. NA SI MTI NI ILE MIMEA YA KAMBA KAMBA INAOTA KWA KASI SANA NA KUJAZANA SEHEMU MOJA KWA KUTAMBAA.
MAJANI YAKE YANAFANANA NA ILE MIMEA UKISHIKA MAJANI YAKE YANASINZIA HIVI. HIVYO USIJARIBU KUWEKA MDOMONI UTADHURIKA.
Zina kava gumu ukimeza bila kutafuna haina shida ila mpaka utafune, tatizo hukusoma link aliyotoa mkuu, hata Mimi enzi hiyo nilimeza sana !! Bt bila kutafuna!!Mkuu mbona umepanic? Uwe na amani tu ila wengi wamezimeza hizo mbegu na hawakufa! So sidhani kama kuna ushahidi zaidi ya huo, bila shaka wewe unaongelea mbegu zingine kabisa na sio hizi,
One love.
Mkuu wiser 1 hizo nilizoweka picha zinaitwa Rosary pea-abrus precatorius nadhani ndizo alizoulizia mleta mada, hizi zipo katika orodha ya Top10 most deadly plants on the Earth, Kuna mkuu ameweka na link kuonyesha kua hizi mbegu ni sumu,mkuu CleverKING hzo picha siyo zenyewe bhnaaa!...maana hayo yalowekwa na mtoa mada yanakm macho flan hv..zaman hizo sisi tulikuwa tunabumba midoli kwa udongo wa mfinyanzi kisha tunaweka hayo km macho flan hivi.
mkuu [color=red]CleverKING[/color] hzo picha siyo zenyewe bhnaaa!...maana hayo yalowekwa na mtoa mada yanakm macho flan hv..zaman hizo sisi tulikuwa tunabumba midoli kwa udongo wa mfinyanzi kisha tunaweka hayo km macho flan hivi.
Hizo mbegu zina sumu kali sana kuzidi hata RICIN ila zinatumika kutengenezea urembo tu.Zinaitwa Sipo, ukimeza mbegu hizo ni kinga ya ugonjwa wa macho!!
Yaani hutaumwa na macho(red eyes) tena!!
Huo mchezo unaitwa BaoKwa kilunga mmea unatwa "MUKORA" Sijui Kwa Kiswahili Wanaitaje? Wazee Wa zamani walipenda kuzichezea kwenye mbao.
Naona unakuwa mkali bure, zinaweza kuwa sumu ila mtu akiniambai alimeza bila kudhrika naweza kumuamini pia..sababu mbegu zenyewe ni ngumu sana, som inawezekana mtu akazimeza na zikatoka zikiwa nzima nzima bila kuwa digested au absorbed so isimletee madharaLABDA BADALA YA KUTIBU MACHO, ZINASIMAMISHA UBONGO KUFANYA KAZI UWEZI JUA KILA KITU KINAWEZEKANA AU SIYO? 😀😀 😀😀😀😀😀 😀😀😀.....
Naona unakuwa mkali bure, zinaweza kuwa sumu ila mtu akiniambai alimeza bila kudhrika naweza kumuamini pia..sababu mbegu zenyewe ni ngumu sana, som inawezekana mtu akazimeza na zikatoka zikiwa nzima nzima bila kuwa digested au absorbed so isimletee madhara
Naungana na wewe Mkuu kua hizi mbegu ni sumu kwa mujibu wa watafiti,hizi mbegu zina majina mengi kama vile,Jequirity,Crab's eye or Crab's eye creeper,Cock's eyes,Paternoster pea,Love pea,Precatory pea or bean prayer bed e.t.cUNAZANI UKALI MKUU MIMI NIMETAHADHALISHA TU KUWA HIZO MBEGU NI SUMU NA HATA NILIPOAMBIWAGA NA MIMI NILIBISHA HIVYO HIVYO ILA NIKAFANYA UTAFITI WANGU NIKAGUNDUA KWELI NI SUMU.
NA KAMA WEWE ULIVYOSEMA NI SAWA LABDA WALIMEZA BILA KUTAFUNA SABABU SUMU YAKE IKO KWENYE PROTEIN YA NDANI YA MBEGU.
KUNA JOURNAL PIA NILISOMA KUNA MTOTO ALILAZWA ICU KWA KULA HIZO MBEGU ILA KWENYE UTAFITI WAO WAKASEMA HUKO SRI-LANKA WATU WANAZICHEZEA SANA NA WAO WAKAISHIA KUTOA TAHADHARI.
ALL IN ALL HIZO MBEGU NI SUMU IKIWA MPAKA ZIMEANDIKWA KWENYE MEDICAL JOURNAL
Hahahaa! Hata yako imekaa sawa kabisa.
Hapo hapo mkuu naongezea hapa ninapo ishi huo mmea upo na nimekula hayo matunda ndani ya huu mwaka nilichukua vimbegu vitano nikatafuna na kumeza sijaona mabadiliko yeyote mpaka naadika hii post
sina muda wa kupoteza kusoma nina vitu vya kusoma hapa JF
kipindi nina miaka 12 kurudi chini kama sijakosea
huo mti ulikuwa uwani kwetu na babu yangu alikuwa akitumia kama dawa kwa mambo yake ya uganga
pia enzi hizo za utoto tulishameza sana hizo mbegu yani sanaaa tulikuwa tukiongopeana kwamba ni dawa
mpaka sasa nna miaka 20+ sijawahi pata athari yeyote halafu unasema nini?? acha kupotosha watu na tafiti zenu za ovyo
[HASHTAG]#Hoja[/HASHTAG]
wapotoshaji tu hao no research no right to speakKweli kabisa mkuu, nimemeza sana hizo mbegu zilikuwa nyingi shambani kwetu, nilimuuliza mama yangu akaniambia ni dawa ya macho meza. Nikawa nameza kila siku nikienda shamba na mpaka leo sijadhurika na hiyo inayoitwa sumu. Hawa wasomi uchwara wanatushangaza sana wakati mwingine.
Kweli wewe fundiNilizichezea zamani kwa kuzitumia kama macho katika midoli ya matope nikiyokuwa natengeneza