Hizi ndoa wengine tunaziotesha mbawa wenyewe

Hizi ndoa wengine tunaziotesha mbawa wenyewe

Mara nyingi makaka mahandsome ndiyo wanaishia kwenye kasheshe hizi.
Ni kweli kabisa kuna mkaka handsome ila mke aliye naye utafikiri bibi na mjukuu, mke kifua kiko juu ka betina mbonge ukiwaona pamoja unamhurumia huyo hechibii aisee. Had unajiuliza labda dawa zilitumika kumnasa.
 
Wa naona wakipata ndoa ni kila kitu. Yani wengine mazoezi hawafanyi tumbo ndo usiseme sasa had wanazeeka cku si zao.
Huwa mnatupa shida sana. Mtu ana 31 lakini shape kama mama yangu! Please stay in shape ladies.
 
Back
Top Bottom