dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,937
- 8,358
Sure n i bet i'll find outThat's for me to know and for you to find out.
Sure n i bet i'll find outThat's for me to know and for you to find out.
Na wanaume asilimia kubwa ni wazinzi 98% hata mwanamke aweje mzuriDiva, mwanamume wa aina hiyo anakuwa na sili ya uzinzi, anatafuta sababu. na normally wanaume watanashati wanaojiremba kama wanawake ni WAZINZI!
Huyu kaka hakuwa mzinzi, ameamua kumwachia na nyumba waliyojenga, na anajihusisha na malezi ya watoto.Diva, mwanamume wa aina hiyo anakuwa na sili ya uzinzi, anatafuta sababu. na normally wanaume watanashati wanaojiremba kama wanawake ni WAZINZI!
Aisee mimi mtu mchafu nisingewezana nae kabisa.Mkuu mke anarudia gauni siku tatu na joto la Dar.
Unakuta wa kaka wengine hata aalikwe kwenye sherehe gani anatokea mwenyewe, au anakuja na watoto.Aisee huyo dada hatari sana, ila mambo ya kumbadilisha mtu ni kujipa matumaini ambayo hujui itakuwa kweli au la, kama umempenda kweli jiandae kuvumilia mapungufu yake na sio kujidanganya kwa mwamvulia wa atabadilika.
Mimi nisingeweza kwa sababu mtu unaweza kuwa na hela ila kama mazingira ya nyumbani ni machafu inakua haina maana?Hata awe katibu mkuu wa wizara mkuu? Ni mfano tu.
Ni kweli kabisa mkuu.Mimi nisingeweza kwa sababu mtu unaweza kuwa na hela ila kama mazingira ya nyumbani ni machafu inakua haina maana?
Unaweza kuwa na vitu vya thamani nyumbani ila kama kuchafu vitakua na thamani kweli , vitaonekana uzuri wake?
Majumbani mwetu ni sehemu muhimu sana kama hautakua na Amani nyumbani kwako basi maisha yako yatakua magumu sana.
Mwaname kuwa msafi ni muhimu sana kwenye familia kuanzia yeye mpaka mazingira anayoishi.
Ninasikia ofisini wafanyakazi wa chini wanafinyana bosi akirudia gauni siku tatu.😛😛Mwanamke & mwanaume haipendezi kuwa wachafu haijalishi wapo kwenye ndoa au kwenye mahusiano ya kawaida,
But kumbuka binadamu kawaida hupitia darasani kusoma ili kutoa ujinga,
Nikiwa na maana ya kwamba kupata elimu mwisho wake sio lazima uajiriwe ndio tukuone msomi, ila mtu hupata elimu ili aweze kujua mambo mengi kwa mapana zaidi,
Huyo Dada alisoma ili ajiriwe pamoja na kwamba anayo akili,
But elimu yake haijamsaidia kwa upande mwingine.
Ila kiapo cha ndoa kuna ule mstari unasema,'katika shida raha. 'Atakuwa ana rundika hadi ziwe nyingi ndo afue
I Hope you don't fall into that category...Tafadhali mkuu.
Story za sky zote ni za marafiki zake wa shule dah
Teh teh teh teh teh.....Ninasikia ofisini wafanyakazi wa chini wanafinyana bosi akirudia gauni siku tatu.😛😛
Shida nyingine zakujitakia mwanamke mzima unatudia nguo Mara Tatu, shida za kutokjiwrka safi huko ni kujitakia kabisa.Ila kiapo cha ndoa kuna ule mstari unasema,'katika shida raha. '
Sasa hapo mume awe ana mtayarishia mkewe nguo za kuvaa asubuhi. Ingawa si kazi rahisi maana kama mwanamke anaweza kujichagulia nguo kama tatu na bado asivae hata moja kati ya hizo, vipi nguo utakayo chaguliwa na mtu baki?!!
Endeleeni tu kusapoti ucahafu mtasubiri sana child support kila mweziHuyo bwana alikuwa mzinzi tu, mtu wa ndoa, unayethamini ndoa, uchafu wa mke hauwezi kuvunja ndoa katu. Mzinzi tu! Nitafanya mwenyewe!
Tabia ni kama ngozi Diva Beyonce.Shida nyingine zakujitakia mwanamke mzima unatudia nguo Mara Tatu, shida za kutokjiwrka safi huko ni kujitakia kabisa.