Hizi ndoa wengine tunaziotesha mbawa wenyewe

Hizi ndoa wengine tunaziotesha mbawa wenyewe

Unajuaje kama halifui usiku?


Nywele mbona mnasuka na kukaa Nazi mwezi.


Mawigi mnashonea yanakaa maweek .

Hayo mbona uyaoni kwako?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hilo la nywele nalo janga,inafikia hatua zinanukaga acha kabisa.
 
hahaha ulijua kuna mtu nimeshamsusia nini. Nimebanwa tu kiduchuuu bt nachungulia sana tu. Nisingeweza kukaa mbali na papito Freddy teh
Nikajua chapombe ashacheza rafu. Yaani papito fredwaa ndio basi tena tusubiri nyingine.
 
Niksjua chapombe ashacheza rafu. Yaani papito fredwaa ndio basi tena tusubiri nyingine.
weee kanirubuni wee na dinner zake za mishumaa ila zimeshanichosha, mtu ana ahadi kama mwanasiasa weee
 
Wengi wanaosoma science wadada asilimia kubwa sura zao loh hafu hawajipendi sasa.
Upewe akili tele, sura nzuri, umbo matata huku mwingine akili sifuri, sura chachu, umbo halieleweki nani kasema Mungu mkali wa mahesabu acha tu.
 
Back
Top Bottom