Hizi ndoa wengine tunaziotesha mbawa wenyewe

523b14fc6734ccb741a4ded8e2b81b3a.jpg

Huyu dada ameshagonga 60 unaweza kuamini?
 
Wazima jamani,

Leo Friday the 13th si siku nzuri kwa jamii nyingine.

Story ni ya shost, huyu alikuwa na maakili shule, wote tuliinua mikono. Hesabu alikuwa anamwachia mwalimu labda 10 aur tano, wakati wengine tumetoka na pass tu mshenzi huyu alikuwa anakung'uta 90-95%. Basi shost alisoma PCM na baada ya hapo alikwenda kwenye zile fani zenye wanawake wachache.

Shost huyu hajipendi, tulifikiri akipata kazi atabadilika, siku nimekutana nae Dar ananiambia ameolewa na watoto watatu khe tulifurahiana, kwani ni muda mrefu yeye si alipata scholar ship zile za serikali, alikwenda nchi flani hivi na amerudi yuko wizara flani.

Story ilikuwa shost katika mikutano huko alikutana na mkaka wale design ya dream za wengi, kijana handsome msomi, basi kijana alikuwa anatafuta mwanamke mwenye shule ya uhakika, kumuoana bidada si aliamini atambadilisha tu.

Yule dada anaweza kuvaa nguo kazini siku tatu hajabadili. Mume alianza kwa kumfanyia shopping, anaongea na wale wadada wanaofanya biashara ya nguo anahakikisha wife ana nguo up to date, hola zinabaki zimetundikwa kabatini.

Mume alikoma kutafuta msomi, msomi huyu alikuwa msomi na kitabu. Akitoka kazini ni kitabu, usiku anaamka ni kuandika ripoti za kazini. Vimekwenda, mume alimpata mtoto ndiyo kwanza amemaliza form six, akaanza kuchepuka. Lakini anampenda mkewe, amemshauri basi badilika hola.

Mwisho mume alimwambia wazi, tuendelee kulea watoto mimi na wewe basi. Haya mambo ya kudhani unaweza kumbadilisha mtu mzima ni kujidanganya.

Sky Eclat.
kiukweli...
mi wa aina hiyo nawakubali mnoooo..
watu ma geneus hatunaga muda wa kuangalia mavazi gani sijui kumechisha sijui kutorudia..zile swaga za ki cow boy ndy zenyewe..

maana dada zetu wengine unawaona kabisa wanajiremba ili ku draw attention za watazamaji tu...

big up sana shosti wako..
 
Dada serikalini anategemewa kweli lakini do kaka amemwaga manyanga.
 
Ukiona hivyo ujue hakumuoa huyo mwanamke bali alioa kile alichonacho, kijana aliona hapa bright future ipo. Sio wanawake tu tunapenda mteremko wanaume pia.
Hatuoi 'mwanamke' tunaoa ulichonacho brain,tabia etc kwasababu ndio kinakufanya uwe wewe yaanitofauti na wengine otherwise ningeoa 'mwanamke' yeyote
 
Hizi kauli tunazitamkaga tu kujipa moyo mpendwa, ila kuna wakati hata wewe unamuangalia mtu hadi unajikuta umesifia uumbaji wa Mungu. Tuache tu unafiki kama kuna uzuri basi na ubaya pia upo.
kweli..

ila kuna uzuri wa kuumbwa.hapo ndy utausifu uumbaji..huu hata akivaa gauni moja 6/7 bado ataonekana mzuri tu..
ila kuna uzuri wa baada kujikwatua..huu ndiyo kila siku anapindua sanduku na kabati kutafuta kutorudia nguo ileile..huu nao tuupe sifa uumbaji..

cha msingi kama waona nguo anazovaa zinamsitiri yeye kama mwanamke anaejitambua sawasawa..na unaona zile utakazo avae ambazo "zitamtoa atazamike" mbele za rafiki zako, hazitaki sababu hatojisikia huru kuvaa "ubandia"...ni jambo la kushukuru sana...
 
Hatuoi 'mwanamke' tunaoa ulichonacho brain,tabia etc kwasababu ndio kinakufanya uwe wewe yaanitofauti na wengine otherwise ningeoa 'mwanamke' yeyote
Sasa if thats the case why akimbie? Au brain imekufa?
Kama umenisoma niliposema "mwanamke" i meant the whole package, pamoja na urafu wake. Ila jamaa alifall kwenye one package mwisho akaja kugundua he wanted more than that, ndipo taabu ilipoanzia.
 
kweli..

ila kuna uzuri wa kuumbwa.hapo ndy utausifu uumbaji..huu hata akivaa gauni moja 6/7 bado ataonekana mzuri tu..
ila kuna uzuri wa baada kujikwatua..huu ndiyo kila siku anapindua sanduku na kabati kutafuta kutorudia nguo ileile..huu nao tuupe sifa uumbaji..

cha msingi kama waona nguo anazovaa zinamsitiri yeye kama mwanamke anaejitambua sawasawa..na unaona zile utakazo avae ambazo "zitamtoa atazamike" mbele za rafiki zako, hazitaki sababu hatojisikia huru kuvaa "ubandia"...ni jambo la kushukuru sana...
It depends with a man, there are men who are comfortable being around elegant ladies.
 
Sasa if thats the case why akimbie? Au brain imekufa?
Kama umenisoma niliposema "mwanamke" i meant the whole package, pamoja na urafu wake. Ila jamaa alifall kwenye one package mwisho akaja kugundua he wanted more than that, ndipo taabu ilipoanzia.
Akishakuwa mchafu sio whole package. Kila mtu na tolerance yake. Alioa brain ila uchaafu umekuwa too much mpaka brain imekuwa haina maana.
 
kweli..

ila kuna uzuri wa kuumbwa.hapo ndy utausifu uumbaji..huu hata akivaa gauni moja 6/7 bado ataonekana mzuri tu..
ila kuna uzuri wa baada kujikwatua..huu ndiyo kila siku anapindua sanduku na kabati kutafuta kutorudia nguo ileile..huu nao tuupe sifa uumbaji..

cha msingi kama waona nguo anazovaa zinamsitiri yeye kama mwanamke anaejitambua sawasawa..na unaona zile utakazo avae ambazo "zitamtoa atazamike" mbele za rafiki zako, hazitaki sababu hatojisikia huru kuvaa "ubandia"...ni jambo la kushukuru sana...
Huo wote ni uumbaji kwasababu kwanini huyu aweze na yule asiweze?
 
Dada serikalini anategemewa kweli lakini do kaka amemwaga manyanga.
kaka alitaka mwanamke "atakaetazamika"...hao wako wengi tu...sana...

maskini kapata wife material ambae upstairs yuko vizuri lakini kamtumbua jipu...

ngoja hao wanatazamika siku watamfanya atoe chozi saa saba mchana mbuzi akila jani juani...

maana asifikirie pia nao watakua kwake kwajili ya u handsome na usomi wake tu..atakua na mapungufu pia nae..watoto wa mjini watapita humohumo kwenye chaki...
 
Akishakuwa mchafu sio whole package. Kila mtu na tolerance yake. Alioa brain ila uchaafu umekuwa too much mpaka brain imekuwa haina maana.
Kumbuka huo uchafu haukuanza leo, ulianza tangu anamfahamu so ni kitu alichoona ataweza kukibeba, the thing is alipaswa alione hilo mapemaa maana binti hakuonyesha dalili za kubadilika tangu awali, hivyo alitakiwa ajue kabisaaa kuwa huo ni udhaifu wa bibie na ajiandae kuishi nao.
 
kaka alitaka mwanamke "atakaetazamika"...hao wako wengi tu...sana...

maskini kapata wife material ambae upstairs yuko vizuri lakini kamtumbua jipu...

ngoja hao wanatazamika siku watamfanya atoe chozi saa saba mchana mbuzi akila jani juani...

maana asifikirie pia nao watakua kwake kwajili ya u handsome na usomi wake tu..atakua na mapungufu pia nae..watoto wa mjini watapita humohumo kwenye chaki...
Mkuu kuna vingine unaona aibu hata kuwa navyo karibu seuse kulala kitanda kimoja.
 
Kumbuka huo uchafu haukuanza leo, ulianza tangu anamfahamu so ni kitu alichoona ataweza kukibeba, the thing is alipaswa alione hilo mapemaa maana binti hakuonyesha dalili za kubadilika tangu awali, hivyo alitakiwa ajue kabisaaa kuwa huo ni udhaifu wa bibie na ajiandae kuishi nao.
Unajipanga halafu uanakuta makaka ni msafi sana, kabla ya kualika wageni nyumbani inabidi afanye usafi mwenyewe, hata ukiugua ghafla ofisini unaogopa kusema mpigieni wife simu. Ninapata picha maisha ya jamaa.
 
is it possible mkuu? mimi nikitoka kazini mlangoni tu navua zote natupia kwenye tenga kwenye corridor wala siweki chumbani nguo chafu eti
lakini inategemea na mazingira ya mtu..

kuna watu ac ni home,garini,ofisini...uturi wa uhakika

hilo jasho analipatia wapi?
 
Kumbuka huo uchafu haukuanza leo, ulianza tangu anamfahamu so ni kitu alichoona ataweza kukibeba, the thing is alipaswa alione hilo mapemaa maana binti hakuonyesha dalili za kubadilika tangu awali, hivyo alitakiwa ajue kabisaaa kuwa huo ni udhaifu wa bibie na ajiandae kuishi nao.
Kuna vitu unaviona unajipa moyo, 'its not a big deal' atabadilika/nitambadilisha yote ni kuwa blinded na mapenzi au mtu ana sifa nyingine unayoipenda mpaka unafumbia macho red flags.

Sasa ukiingia kwenye game ndio unajua sio rehersal.
 
Back
Top Bottom