Acha umbea bana.... Wewe sio mtu wakutunza siri za marafiki zako maana, kila siku shosti yangu alifanya hivi mara vile..... BadilikaWazima jamani,
Leo Friday the 13th si siku nzuri kwa jamii nyingine.
Story ni ya shost, huyu alikuwa na maakili shule, wote tuliinua mikono. Hesabu alikuwa anamwachia mwalimu labda 10 aur tano, wakati wengine tumetoka na pass tu mshenzi huyu alikuwa anakung'uta 90-95%. Basi shost alisoma PCM na baada ya hapo alikwenda kwenye zile fani zenye wanawake wachache.
Shost huyu hajipendi, tulifikiri akipata kazi atabadilika, siku nimekutana nae Dar ananiambia ameolewa na watoto watatu khe tulifurahiana, kwani ni muda mrefu yeye si alipata scholar ship zile za serikali, alikwenda nchi flani hivi na amerudi yuko wizara flani.
Story ilikuwa shost katika mikutano huko alikutana na mkaka wale design ya dream za wengi, kijana handsome msomi, basi kijana alikuwa anatafuta mwanamke mwenye shule ya uhakika, kumuoana bidada si aliamini atambadilisha tu.
Yule dada anaweza kuvaa nguo kazini siku tatu hajabadili. Mume alianza kwa kumfanyia shopping, anaongea na wale wadada wanaofanya biashara ya nguo anahakikisha wife ana nguo up to date, hola zinabaki zimetundikwa kabatini.
Mume alikoma kutafuta msomi, msomi huyu alikuwa msomi na kitabu. Akitoka kazini ni kitabu, usiku anaamka ni kuandika ripoti za kazini. Vimekwenda, mume alimpata mtoto ndiyo kwanza amemaliza form six, akaanza kuchepuka. Lakini anampenda mkewe, amemshauri basi badilika hola.
Mwisho mume alimwambia wazi, tuendelee kulea watoto mimi na wewe basi. Haya mambo ya kudhani unaweza kumbadilisha mtu mzima ni kujidanganya.
Sky Eclat.
Mi kuna watu nawafahamu baada ya ndoa church wakabadilika had ki tabia kujiacha rafu ndo usiseme, hata Ku take care family hawajali. Ndo maana wanaume hutafta michepuko sasa kipindi cha uchumba mtu alikuwa smart anajituma after ndoa ndo anajiona wamefika. Nampenda zari ana five kids like bado yuko hot anajipenda na anavutia sana lohKibaya zaidi wengine wakishapata ndoa ya kanisani wanarelax.
Ni kweli mkuu, unakuta mtu hata mazoezi hafanyi na jioni anakwambia halali bila beer, hakuna kitu kibaya kwenye umbo la mwanamke kama kitumbo, hata uvae nini hupendezi labda dera na Nigerian gear. Watu wanajisahau kufanya mazoezi.Mi kuna watu nawafahamu baada ya ndoa church wakabadilika had ki tabia kujiacha rafu ndo usiseme, hata Ku take care family hawajali. Ndo maana wanaume hutafta michepuko sasa kipindi cha uchumba mtu alikuwa smart anajituma after ndoa ndo anajiona wamefika. Nampenda zari ana five kids like bado yuko hot anajipenda na anavutia sana loh
Kama mtu anaweza vaa nguo za nje zinazo onekana nje na wote sasa vipi zile nguo ambazo hatuwezi kuziona?!!Ndo ubaya wakufata status bila Ku consider other factors. Huyo mwanamke ni jipu nguo anavaa siku Tatu kwa kweli cjawahi ona mwanamke disaini yake
Bottomline ni kuwa siwezi kuvunja ndoa au kuzini kwa sababu ya uchafu wa mke!Kuna wanawake huwa hawajipendi in nature tu. Ningekuwa mi mwanaume ctoki na mwanamke aina hyo.
Wa naona wakipata ndoa ni kila kitu. Yani wengine mazoezi hawafanyi tumbo ndo usiseme sasa had wanazeeka cku si zao.Ni kweli mkuu, unakuta mtu hata mazoezi hafanyi na jioni anakwambia halali bila beer, hakuna kitu kibaya kwenye umbo la mwanamke kama kitumbo, hata uvae nini hupendezi labda dera na Nigerian gear. Watu wanajisahau kufanya mazoezi.
Atakuwa ana rundika hadi ziwe nyingi ndo afueKama mtu anaweza vaa nguo za nje zinazo onekana nje na wote sasa vipi zile nguo ambazo hatuwezi kuziona?!!
Hata ile confidence ya kukaa na bikini mbele ya mume kwishney, unabaki kuwahi kuingia kitandani na kuzima taa.Wa naona wakipata ndoa ni kila kitu. Yani wengine mazoezi hawafanyi tumbo ndo usiseme sasa had wanazeeka cku si zao.
Huyo ni wewe mmoja kati ya thousands ya wanaume. Ndo maana michepuko haiishiBottomline ni kuwa siwezi kuvunja ndoa au kuzini kwa sababu ya uchafu wa mke!
Uchafu tu, unaamua kuoa! Kuvunja ndoa! Ndoa ya Kanisani! (uislamu sijui, labda kuna verse inaruhusu)Mko tofauti aliyavumilia kijana yalimshinda, alijiona si yeye na analazimika kuwa mtu mwingine kwasababu ya tabia za mkewe.
Diva, mwanamume wa aina hiyo anakuwa na sili ya uzinzi, anatafuta sababu. na normally wanaume watanashati wanaojiremba kama wanawake ni WAZINZI!Huyo ni wewe mmoja kati ya thousands ya wanaume. Ndo maana michepuko haiishi