Mrigariga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,760
- 1,634
Hakuna mbaya hata mmoja. Mungu alituumba kwa mfano wake. Sass kama wapo tunao waona wazuri ina maana hata hao tunaodhani ni wabaya kuna wengine wana waona wazuri. 'Beauty lies in the eye of the beholder 'Wanasema the beauty lies in the eyes of beholder, na wabaya nasi tuolewe na nani?
Notion ya uzuri na ubaya ipo kwetu sisi. Ila beauty lies beneath...
.