Na wakati huo kipya kinyemi sex wise kuna enjoyment, mkiingia kwenye ndoa mmezoeana, J2 hamwendi kazini mpaka saa nne mama hajaoga.Kuna vitu unaviona unajipa moyo, 'its not a big deal' atabadilika/nitambadilisha yote ni kuwa blinded na mapenzi au mtu ana sifa nyingine unayoipenda mpaka unafumbia macho red flags.
Sasa ukiingia kwenye game ndio unajua sio rehersal.
Sky tuwekee na picha yako kama hutajali tafadhali.![]()
Huyu mama ana 80 bado anadai kabisa.
I bet my head....Sky tuwekee na picha yako kama hutajali tafadhali.
Kwahiyo bibie ni mchafu hadi nyumbani?Unajipanga halafu uanakuta makaka ni msafi sana, kabla ya kualika wageni nyumbani inabidi afanye usafi mwenyewe, hata ukiugua ghafla ofisini unaogopa kusema mpigieni wife simu. Ninapata picha maisha ya jamaa.
Ndio maana tunapaswa kutokuignore red flags at all, ni vya kujiuliza je nitaweza kuvivumiliahivi ten years to come au for the rest of ma life? If yes then go for it.Kuna vitu unaviona unajipa moyo, 'its not a big deal' atabadilika/nitambadilisha yote ni kuwa blinded na mapenzi au mtu ana sifa nyingine unayoipenda mpaka unafumbia macho red flags.
Sasa ukiingia kwenye game ndio unajua sio rehersal.
Sijui wengine huwa hawana rafik wenye story kama hizStory za sky zote ni za marafiki zake wa shule dah
analytical theory haya mamaWazima jamani,
Leo Friday the 13th si siku nzuri kwa jamii nyingine.
Story ni ya shost, huyu alikuwa na maakili shule, wote tuliinua mikono. Hesabu alikuwa anamwachia mwalimu labda 10 aur tano, wakati wengine tumetoka na pass tu mshenzi huyu alikuwa anakung'uta 90-95%. Basi shost alisoma PCM na baada ya hapo alikwenda kwenye zile fani zenye wanawake wachache.
Shost huyu hajipendi, tulifikiri akipata kazi atabadilika, siku nimekutana nae Dar ananiambia ameolewa na watoto watatu khe tulifurahiana, kwani ni muda mrefu yeye si alipata scholar ship zile za serikali, alikwenda nchi flani hivi na amerudi yuko wizara flani.
Story ilikuwa shost katika mikutano huko alikutana na mkaka wale design ya dream za wengi, kijana handsome msomi, basi kijana alikuwa anatafuta mwanamke mwenye shule ya uhakika, kumuoana bidada si aliamini atambadilisha tu.
Yule dada anaweza kuvaa nguo kazini siku tatu hajabadili. Mume alianza kwa kumfanyia shopping, anaongea na wale wadada wanaofanya biashara ya nguo anahakikisha wife ana nguo up to date, hola zinabaki zimetundikwa kabatini.
Mume alikoma kutafuta msomi, msomi huyu alikuwa msomi na kitabu. Akitoka kazini ni kitabu, usiku anaamka ni kuandika ripoti za kazini. Vimekwenda, mume alimpata mtoto ndiyo kwanza amemaliza form six, akaanza kuchepuka. Lakini anampenda mkewe, amemshauri basi badilika hola.
Mwisho mume alimwambia wazi, tuendelee kulea watoto mimi na wewe basi. Haya mambo ya kudhani unaweza kumbadilisha mtu mzima ni kujidanganya.
Sky Eclat.
ya kwel ?Mkuu mke anarudia gauni siku tatu na joto la Dar.
Huyu dada amekuwa kimya sana siku hizi? Umeolewa nini!Keeping up with Sky Eclat's shostis lol
Ni ngumu kumbadilisha mtu especially kama yeye mwenyewe hajaamua kubadilika
You never know.mkuu kama gauni siku tatu huko kwingine ni salama mkuu.
weee kumbe ukiolewa, mahudhurio ya Jf yanapungua? Me nipo sana tu banaHuyu dada amekuwa kimya sana siku hizi? Umeolewa nini!
Hahahaaa..... Kumbe na wewe umeshaliona hilo!Story za sky zote ni za marafiki zake wa shule dah
Unajuaje kama halifui usiku?Mkuu mke anarudia gauni siku tatu na joto la Dar.