Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 17,671
- 33,883
Yaani kapuku tu kama wewe unamwita Lema mganga njaa. Wewe una nini hasa cha kumzidi leo? Au lema alikuja kuomba ugali kwako?
Yaani kapuku tu kama wewe unamwita Lema mganga njaa. Wewe una nini hasa cha kumzidi leo? Au lema alikuja kuomba ugali kwako?
Kwani ww ushaolewa?Uyo Maria mwambie amtafute mume kwanza ndio aje tujadili mustakabali wa taifa letu, hatuwezi jadili mambo ya msingi na kiruuka njia, nyie mnaosema sijui angeweza kupata nafasi nani angempa hivi mnamjua mwamba wa chato nyie, hizo kelele zote ni baada ya kukosa mashavu kipindi cha mwamba from chato mbona kipindi cha JK alikuwa katulia tu
"Mi ni CCM"Chadema at work!! Mi ni CCM uzi za namna hii nikisoma sielewi narudia na kurudia ila wapi.
Nadhani mleta uzi katoroka mirembe maana mi sioni tangible results za anaowasifia zaidi mi nawajua hao watu kama wachumia tumbo, wavuta bangi na shisha, madanga ya town na wakimbizi tu!
Fatma kipindi cha jiwe udini ulimbamba kwa sasa kama kabadili gear angani ila ile kama anaona noma kimtindo,kuhusu maria alimchukia jiwe baada ya kumuweka ndani na kumpora uraia boss wake wa ile taasisi yake ya twaweza,toka pale maria alimchukia jiwe na kibaya zaidi kwa watoto wa waastafu wa serikali zilizopita jiwe akua na mpango nao,95% ya familia za wastaafu walimchukia jiwe na maria kupitia chuki zake na uharakati uchwara kwa kipndi cha jiwe akapata connection na ndio inamfanya aendelee na uharakati ila bila hivyo nae angeshabafili gear angani,vijana tupambane kutafuta pesa na tusiwaamini kabisa wanaharakati na wanasiasa wa kiafrika wote watafuta connection ya kulamba asali tu mengine yote maigizo tuHapa umemuacha Fatma Karume na namba 2 hapo alitakiwa kuwa namba 1 namba 3 awe namba 2.