Hizi hapa familia TANO zenye maisha bora zilizopambana kwa ajili ya masikini na kuonewa kipindi cha mwaka 2015 hadi 2022

Uyo Maria mwambie amtafute mume kwanza ndio aje tujadili mustakabali wa taifa letu, hatuwezi jadili mambo ya msingi na kiruuka njia, nyie mnaosema sijui angeweza kupata nafasi nani angempa hivi mnamjua mwamba wa chato nyie, hizo kelele zote ni baada ya kukosa mashavu kipindi cha mwamba from chato mbona kipindi cha JK alikuwa katulia tu
Kwani ww ushaolewa?
 
Chadema at work!! Mi ni CCM uzi za namna hii nikisoma sielewi narudia na kurudia ila wapi.

Nadhani mleta uzi katoroka mirembe maana mi sioni tangible results za anaowasifia zaidi mi nawajua hao watu kama wachumia tumbo, wavuta bangi na shisha, madanga ya town na wakimbizi tu!
"Mi ni CCM"

Hapo ndipo tatizo linapoanzia, na ni kweli unaweza usielewe nyuzi za namna hii.
 
Sema walipambana kutetea ugali wao kwa kimvuli cha watu masikini ,kama kweli ni watetezi wa masikini wangewatetea leo ambapo pato la msikini halijaongezeka lakini mchele ananunua 3500 kutoka 1300 nauli basi dar mwanza 65000 kutoka 45000 utitili wa tozo kila sehemu,ajabu leo wamekaa kimya wanasema anaupiga mwingi. SHENZI zao wote hao uliowataja.
 
Hapa umemuacha Fatma Karume na namba 2 hapo alitakiwa kuwa namba 1 namba 3 awe namba 2.
Fatma kipindi cha jiwe udini ulimbamba kwa sasa kama kabadili gear angani ila ile kama anaona noma kimtindo,kuhusu maria alimchukia jiwe baada ya kumuweka ndani na kumpora uraia boss wake wa ile taasisi yake ya twaweza,toka pale maria alimchukia jiwe na kibaya zaidi kwa watoto wa waastafu wa serikali zilizopita jiwe akua na mpango nao,95% ya familia za wastaafu walimchukia jiwe na maria kupitia chuki zake na uharakati uchwara kwa kipndi cha jiwe akapata connection na ndio inamfanya aendelee na uharakati ila bila hivyo nae angeshabafili gear angani,vijana tupambane kutafuta pesa na tusiwaamini kabisa wanaharakati na wanasiasa wa kiafrika wote watafuta connection ya kulamba asali tu mengine yote maigizo tu
 
Uzi ni batili na wakibaguzi dhidi ya wanaharakati,sisi UVCCM umetuacha wapi?
 
Back
Top Bottom