Hizi hapa familia TANO zenye maisha bora zilizopambana kwa ajili ya masikini na kuonewa kipindi cha mwaka 2015 hadi 2022

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,105
1. Maria Sarungi (shangazi)- umezaliwa familia Bora, ulikuwa na kila sifa uteuzi lakini ulikataa na kuamua 2022 ulie na wanaolia. Uliwindwa ukakimbia nchi lakini bado haukusita kupambana Kwa ajili ya Haki ya wale wote wanaonekana. Kupitia Maria space ulivuka viunzi vya kuminywa Kwa Uhuru wa habari na kuwafungua hata wale waliokuwa wanapinga uwepo wa club house na Space nao SASA hatuwaoni TBC wamebanana na Sisi kwenye tweter space na mikutano ya mitandaoni. Unahitaji nishani Kwa uvumilivu.

2. Ungeamua kuwa kimya upate uwaziri ungepata, ungeamua kuunga juhudi mkono natumai familia yako ingekuwa inalindwa na kubebwa kwenye mashangingi. Lakini ulikataa madaraka pamoja na kwamba umezaliwa na akili nyingi pamoja na maarifa. Miaka sita iliyopita ulikuwa shujaa na ulistahili kupewa tuzo. Hata walipotamani uondoke Duniani Mwenyenzi Mungu aliwakatalia. Wewe NI mwanasiasa wa Pekee Tanzania unayeweza kusimulia na watu wakasimilia hatua ngumu ulizopita toka ulipoaanza safari ya kutetea wanaonewa. Huyu siyo mwingine NI Mhe. Tundu Antipas Lissu mkimbizi anayepoteza muda na rasilimali nyingi ikiwemo muda KUSHUGHULIKIA nafsi za wanyonge na kufichua uovu. Respect my brother.

3. Ungeweza kuamua kufanya biashara na kustawi wewe na familia yako. Ungeweza kuamua ukae upande wa serikali ambayo Baba yako NI mwasisi lakini uliamua pamoja na utajiri wote ulionao maisha yako yawe ya tabu na njaa. Umeibuka kuwa mwanasiasa ambaye pamoja na kupitia kwenye majaribu mengi umekuwa mshindi wakati wote. Wewe siyo msomi WA makaratasi ila umezaliwa na akili na maarifa yakuishi na watu. Bro. Freeman Aikael Mbowe Mwenyenzi Mungu azidi kukulinda na akupe upeo wakutafuta watu wenye maono kama kama yako unakabidhi harakati unapoelekea uzeeni. Ukombozi wa pili utakuwa ukombozi uliouasisi wewe. Respect to your family

4. Natambua harakati zako ukiwa kijana mdogo na natambua maarifa uliyonayo....wewe siyo familia Bora Kwa maana ya Mali Bali wewe nifamilia Bora kutokana na Aina ya wazazi waliokuleta Duniani. Umepambana mchana na usiku kuipigania Tanzania lakini kubwa zaidi nikupongeze Kwa uwezo wako na maarifa uliyotumia kuwapelekea wananchi kile kilichokuwa kikitokea mahakamani wakati wa kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake. NI vigumu kutambua mchango wako Kwa Taifa letu Ila napenda kukujulisha kwamba unapoona ikiundwa tume unayoingozwa na Jaji nikwasababu Kwa kupitia akaunti yako ya tweeter uliweza kueleza Dunia mapungufu ya Serikali, Bunge na mahakama. Ubarikiwe Sana na usilewe sifa Ndugu Martin Maranja. Umeingia kwenye kumbukumbu za Dunia pasipo kuwa tajiri wa fedha Bali tajiri WA maarifa.

5. Namleta kwenu mkimbizi WA kisiasa ndugu Godbless lema; nikimzungumzia Sana sitakuwa na maneno mazuri yakusema ila Kwa miaka ya karibuni ametokea kuwa mwanasiasa aliyetoa hotuba na kuchangia mijadala ambayo mengi ya Yale aliyoyasema yamekuwa yakitimia. Nabii mwenye elimu ndogo ya makatasi Ila elimu kubwa ya maarifa ya tafsiri ya maisha. Mwamba umeumbwa na hofu ya Mungu, natambua familia yako ilipitia mengi lakini maandishi haya yanaposomwa yanazidi kuibua watu wanaoomba Kwa ajili yako uweze kufika uendeko. Barikiwa Sana kaka endelea kuitenda KAZI ya Mungu anapokutumia kama sehemu yakupitia mahusia kwetu Sisi wanadamu.

Mwisho nisema kwamba; kama kuna watu tunapaswa kuwaombea msamaha huko Kwa Mungu tunaposali ni pamoja na hawa watu, wakiendelea kuishi watatusaidia kurekebisha pale wanapokosea wengine na kutengeneza wafuasi ambao kwao utajiri mkubwa ni kuona masikini anapewa thamani aweze kuwa na Amani na kujikwamua mwisho wote tuishi Kwa usawa.
 
Siasa za nyuma ya keyboard,hapana kwa kweli ni maigizo.Twende Frontline kama watu Misri, Tunisia na Sudan kupambana na majangili ya kisiasa kama tupo serious!
 
Sarungi Maria angekuwa serious na maisha ya watu wa chini, angeenda Rorya agombee ubunge ili walau ajaribu kufukia madhaifu ya mshua wake Prof. Sarungi.
Siasa za kwenye space ni kama stories tu.
 
Mungu awatunze
 
Uyo Maria mwambie amtafute mume kwanza ndio aje tujadili mustakabali wa taifa letu, hatuwezi jadili mambo ya msingi na kiruuka njia, nyie mnaosema sijui angeweza kupata nafasi nani angempa hivi mnamjua mwamba wa chato nyie, hizo kelele zote ni baada ya kukosa mashavu kipindi cha mwamba from chato mbona kipindi cha JK alikuwa katulia tu
 
Kama ziliuksaidia wewe usidhani ni wote. Acheni mjumuisho bila ushahidi wala utafiti. Ni aibu. Wote unaowataja wanahangaikia maisha yao binafisi. Maybe nanyi kama ndugu za washirika wao lakini si maskini wote
 
Chadema at work!! Mi ni CCM uzi za namna hii nikisoma sielewi narudia na kurudia ila wapi.

Nadhani mleta uzi katoroka mirembe maana mi sioni tangible results za anaowasifia zaidi mi nawajua hao watu kama wachumia tumbo, wavuta bangi na shisha, madanga ya town na wakimbizi tu!
 
Back
Top Bottom