Angalieni sana na mjirekebishe jinsi ya kuandaa na kuongoza habari zenu, acheni kujiweka mbele kwa kubeza na kukashfu watu.
Hii ni siasa ambayo ni upepo tu, unaweza kuvuma kuanzia upande wowote ule
Changeni vizuri karata zenu
Pole sana mkuu kwa kuchelewa sana kung'amua hili suala. Mbona lilishajulikana wazi toka mwanzo?Hawa watu wamegoma kusoma magazeti ya leo eti kisa yameripoti habari za Lowassa.
Eti wanasema kilichotokea jana kila mtu alishuhudia hivyo hakukuwa na haja magazeti kuripoti leo.
Kweli Clouds?
Walichoamua eti bora tusome uhuru(jarida la CCM). Ambalo limeripoti ''Magufuli ushindi wa Tsunami''
Kwa design hii waandishi wa Clouds na media zenu wekeni wazi kuwa ninyi ni vyombo ya propaganda za CCM.
Mkuu kumbe na wewe mzee...
Kibonde huwa ni mwanachama wa NCCR mageuzi na Gerard ni Chadema huenda wanafanya kazi Kwa kumfurahisha Ruge lakini mionyoni mwao woote ni Ukawa.
Clouds ndio redio bora , ndio maana huachi kuwasikiliza kama vp unaweza piga chini