Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,756
- 27,481
teh teh teh
msimbazi mseto!
msimbazi mseto!
Kulipa kisasi sio hoja za msingi kwa Raisi
Acha hizo wewe au umekuja kuipromote clouds humu.Hando amesoma gazeti la Uhuru, Tanzania daima na anaendelea kusoma magazeti mengine.
Ebu tubadilike jamani. Wasome wasisome kilicho tokea kimetokea na bado kinawaumiza ndo mana wanaropoka ovyo.
Uhuru wanadai eti, msafara wa jana wa lowasa ulijaa vibaka na walevi!!!!! Kuna ukweli apo sasa si maneno yamkosaji tu....