mnang'umba
JF-Expert Member
- Jun 26, 2015
- 471
- 150
Watakufa kama ccm,mambo yote EFM SAA 24
Gerald Hando kajishushia hadhi saaanaaa...nilikuwa namkubali ila kwasasa simukubali tena na kama anadhani atapata shavu la CCM basi imekula kwake
Leo eti anajifanya hawezi kusoma magazeti zaidi ya Uhuru na habari Leo..Kisa mengine yote yameandika habari za lowwasa.
Hando ni tatizo,PJ mtu mwenye msimamo huwa anasoma bila ubaguz nahisi kuna shinikizo ndio maana leo hajaja,na mood yao ya leo ya usomaj tofaut kabisa.fredwar kapiga kimyaaa
acheni habari za uzushi, mbona wame-report habar za lowasa kwa kina kabisa. Hivi sheria ya makosa ya mitandao haijaanza kutumika ili ikushughulikie?