Nasononeka kwani huwa mnajidai hamuisikilizi wala kuangalia clouds ila chochote msichokipenda mnakuja kulia lia kwan mna shida gani?.
Hawa watu wamegoma kusoma magazeti ya leo eti kisa yameripoti habari za Lowassa.
Eti wanasema kilichotokea jana kila mtu alishughudia hivyo hakukuwa na haja magazeti kuripoti leo.
Kweli clouds?
Walichoamua eti bora tusome uhuru(jarida la CCM). Ambalo limeripoti ''Magufuli ushindi wa Tsunami''
Kwa design hii waandishi wa clouds na media zenu wekeni wazi kuwa ninyi ni vyombo ya propaganda za CCM.
Wale ni watangazaji au wahuni?
Hando ni kibaraka wa Ruge hata akiambiwa alambe 'masa' hatasita,hivyo msimamo wa Ruge ndio wa Hando (Ruge kanunuliwa studio na JK kwa kodi zetuGerald anatumika kuihujumu ukawa
Kila mtu anajua kuwa wenye magari walijaziwa mafuta ya elfu 25 na bodaboda ya elfu 10