Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,634
- 697,914
Ile mbegu Ile very rear to find oneNimecheka leo hadi raha,ukutane na msambaa wa kwembago ni weupe wazuri sana.
Ile mbegu Ile very rear to find oneNimecheka leo hadi raha,ukutane na msambaa wa kwembago ni weupe wazuri sana.
Nakupenda sana mtoto, hebu njoo PM kwanza tupange future. Uko tayari kuwa mchepuko lakini? I mean kama mke wa pili. Nitakujali kuliko unavyodhani![/QUOTE]ukhuty, post: 18870165, member: 392029"]Sonyumbai kwangu nenkufundishe vyetatama hivyo mpaka ughuuke
Wasambaa wanaongea kama chiriku vile.
Why you didn't do that?Dear hujakosea hata kidogo... To add it up ni wachapa kazi sana huwa hawachagui Job.. Niliwajua hawa watu as wapangaji wetu when I grew up ..( I lived with them in the same house ). And one of my relative married in this tribe .. Very nice people ... Thanks..
Hawa watu mnavyowasifia nahisi kuvuyiwa nao. Ila mi mbona nasikia hawa watu wa Tanga wana mambo ya ushirikina. Ni baadhi ta makabila au hata na hawa wamo.Wapole wacheshi wapend watu hawana roho mbaya hawana tamaa wachapa kazi wavumilivu wasikivu hawapend makubwa wanaridhika na walichonacho na wana heshima ya hali ya juu ngoja niishie hapo
Nafikiri we unawaelewa vizuri!Wanawake wakisambaa ni wife materials, wanaheshimu mume, wanajua kufanya bajeti ya familia,pia wavumilivu sana.
Wanaume wanasifa ya ukicheche lakini ni wachapakazi sana.
ANGALIZO: Kabila lingine hasa kutoka bara (wao wanatuita Wanyika) ukienda kuoa / kuolewa huko jiandae kupigwa Zongo
Umbuje uyo ekana nae naamteia vyedi, ana ifu sa via nkiroba cha ugoo.Eka mambeza mbwanga umuonie ndai ashetoa mswaki
jitionda kwani tina mbui ani???? ukiweea atetikunda duWaghoshi soi kunu, kuna bahau jetiondo mbui!!!
Ukimpangisha chumba mmoja wanahamia kumiukimkanyaga bahati mbaya ni lazima alipize
Au ifu ja shakiiziUmbuje uyo ekana nae naamteia vyedi, ana ifu sa via nkiroba cha ugoo.
[/QUOTE]mshana jr, post: 18877407, member: 98741"]Nakupenda sana mtoto, hebu njoo PM kwanza tupange future. Uko tayari kuwa mchepuko lakini? I mean kama mke wa pili. Nitakujali kuliko unavyodhani!
Unacheka mkuu? It sounds funny lakini niko serious, mtoto nimempenda. Everything about her makes my hear skip a beat, the way she talks, alivyo proud na her origin, points n.k mimi nazimia huku.
Mghoshi uzansheshaAu ifu ja shakiizi
Mghoshi uzanshesha