Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,695
- 830,698
Hang'we naiwe maa umbu janguUgoshe wedi mndughu
Hang'we naiwe maa umbu janguUgoshe wedi mndughu
Ndio tulio jaaliwa na Mungu kwa sifa hizowakike ni wapole nahata umpigeje haondoki ila ukimuoa ndio ujue umeoa ukoo wote
wakiume wahuni kila anakoenda kutafuta maisha anazaa n kuacha mke
tabia ya ujumla ni wakarimu sana na wanajali utu wa mtu,wanajua kubembeleza mnoooooooo
Bumbuli, Mbuzii, Kwemashae, Ubiri N.k.....wanapatikana sana wilayani Lushoto, kuanzia maeneo ya Soni, kongei, lushoto mjini, lukozi, mtae, mlalo, ngwelo, mlola.
Umelonga mdauWaghoshi soi kunu, kuna bahau jetiondo mbui!!!
Tupo pamoja....kwa upande wa wasambaa source ni mimi mwenyewe
Hakuna tusi kweli hapa! Waghoshi, help please!Nejikaje kitombo cha nine ngazi malihemu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ukhuty, soi unifunde ekishambaa!Nndai uyoo mwetionda mbuii eka naaiiza neachipute nkibua ahoo
Mi ni mphare avae, heicho nvamaije nedhoMbui see inu ushe maa! Wangwe cha umbuje china muiye icho![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Umamaliza!Wanapenda mambo makubwa kuliko uwezo wao...
Reference:JM
Unafique ni tabia ya mtu yeyote isiyo na mafungamano yeyote na kabila yakeWanafki hatari