Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,076
- 859,159
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Umamaliza!
Wanapenda mambo makubwa na mashindano!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Umamaliza!
Wanapenda mambo makubwa na mashindano!
I mean youuu[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Kaje kisiku cha nyokweWanaongoza kwa kushikashika miguu ya mama na dada zetu kisa eti wanasafisha kucha. Walah, siku nikimkuta anadusugua miguu ya my wife, navunja miguu ya mwanamke na yeye namvunja kiuno.
Usiiishi kwa kukariri, sisi huwa hatuishi kwa kumtegemea mtu, kwa taarifa yako sisi sio wavivu na huwa hatuchagui kazi ya kufanya, nipo radhi niishi kwa kusukuma mkokoteni kuliko nije kuhemea ugali wa bure kwako, uliza uambiwe, zunguka Tanzania nzima hutakaa ukute msambaa ambae ni ombaombaKweli aisee ukioa msambaa basi ukoo wake wote wanataka ww ndo uwe baba yao, kaka zake , dada zake woote watakuegemea ww . Ila kwenye mambo wako vizur, hasa kwa wale watundu wa tigopesa ndio watachanganyikiwa
Ukundigwa usheke unejaaa izi ngija ze nyikaUshensheshe mosie
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, uzanishesha osieMbui see inu ushe maa! Wangwe cha umbuje china muiye icho[emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
I knew it in advance [emoji13] [emoji13] [emoji13]I mean youuu[emoji12] [emoji12] [emoji12]
sawa ni maoni tu tunatoaUsiiishi kwa kukariri, sisi huwa hatuishi kwa kumtegemea mtu, kwa taarifa yako sisi sio wavivu na huwa hatuchagui kazi ya kufanya, nipo radhi niishi kwa kusukuma mkokoteni kuliko nije kuhemea ugali wa bure kwako, uliza uambiwe, zunguka Tanzania nzima hutakaa ukute msambaa ambae ni ombaomba
Umekula darasa gani au kwa kungwi gani wa kichaga[emoji92] [emoji92] [emoji92] [emoji92] [emoji92]Kahaluajr.......uliambiwa wasambaa au watu wa Tanga??Maana kuna wasambaa, wadigo, wabondei wote wanayajua ti ingawa siku hizi hata wachaga twayajua ati mahabat
Aisee nishekie[emoji23]Kaje kisiku cha nyokwe
Nenda Wilayani LushotoNitawapataje hawa wasambaa? ni shombe shombe?
wako na ngozi nyororo ya black beaut?
Naona wanasifiwa sana kwenye hii thread!!
Tanga sehemu gani wanapatikana?
Sonyumbai kwangu nenkufundishe vyetatama hivyo mpaka ughuukeUkhuty, soi unifunde ekishambaa!
Mchambulie apo kwa wadigoKahaluajr.......uliambiwa wasambaa au watu wa Tanga??Maana kuna wasambaa, wadigo, wabondei wote wanayajua ti ingawa siku hizi hata wachaga twayajua ati mahabat
Nakupenda sana mtoto, hebu njoo PM kwanza tupange future. Uko tayari kuwa mchepuko lakini? I mean kama mke wa pili. Nitakujali kuliko unavyodhani![/QUOTE]ukhuty, post: 18870165, member: 392029"]Sonyumbai kwangu nenkufundishe vyetatama hivyo mpaka ughuuke
Wasambaa wanaongea kama chiriku vile.Ukifanikiwa kuopoa binti wa kisambaa jua umeopoa almasi mchangani
Ni wacha Mungu
Ni wakweli
Ni waaminifu
Ni wasafi
Ni wasiri
Wanajua kupenda
Wana jua kupika
Ni wataalam wa tiba mbadala
Wanajua bajeti nk nk