Dhana ya "kusaidiana" maisha na mwanamke katika utafutaji ni ya wanaume dhaifu na wajinga sana

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Oct 27, 2019
1,876
5,443
Peace be upon you all,

Siku za hivi karibuni kumeibuka dhana ya wanaume kutaka kuoa wao wanasema "kuoana" na wanawake wenye kipato na ajira ili "kusaidiana maisha"

Aina hii ya wanaume ni wanaume dhaifu both mentally and physically oooh wait hata spiritually ni dhaifu na magoi goi. Tangu lini mwanamke akamsaidia mwanaume ?! Hivi unawafahamu wanawake wewe ?!

Hivi kweli umekaa hapo na makende yako ati To yeye atakusaidia maisha kwakua yeye ni mwalimu na wewe ni muhasibu wa ka NGO gani gani huko ?!! Hivi unawasikia au unawafahamu hawa viumbe, kwanza viajira vinawapa ujuaji, kiburi na jeuri ya hali ya juu

download (5).jpeg


Kawaulize mabini mashuleni na vyuoni kwanini wanakazana kusona (nawanakazana haswa sio mchezo) watakwambia wanasma ili wasije "kunyanyaswa" na mwanaume alafu wewe fala ati unataka waje "wakusaidie" maisha my friend una akili sawa kweli ?! ikumbukwe kwao kua chini ya uongozi wa mwanaume ni kunyanyaswa.

Mwanamke mwenye ajira, kwake ajira ina umuhimu kuliko familia na wewe mume. Akiambima achague kazi au wewe atachagua kazi kabla hata muuliza swali hajamaliza kuuliza.

mwanamke yuko radhi mlale njaa ila kwenye mkoba wake ana million na ushee argument yake ni kua sio jukumu lake kuhudumia familia, sasa ukimuuliza anafanya kazi ili iweje subiri vita ya Urusi na Ukrane. Wanataka haki sawa ila wanataka pia na special treatment qmamae hao ndio wanawake.

Hawa viumbe kwa ubinafsi hapajakuwako na hapatakuwako mfano wao chini ya jua, chini ya bahari na hata juu ya vilima na mawingu na hata mpaka miisho ya dunia. Hawa mafeminist ati wakusaidie maisha kuna wanaume wajinga sana dunia hii ila wanakipata cha mtema kuni

Wanawake hawafanyi kazi huko maofisini ati ili wakusaidie, NEVER wanafanya kazi ili "wasibabaishwe" wawe huru "wasitawaliwe" wajiamulie watakalo ikumbukwe wanawake wameumbwa na negative energy na uasi ndani yao bila kua chini ya mwanaume hutumiwa sana na shetani kuwaangamiza wanaume.

Vitabu vya imani vinamtaja mwanaume kwa hulkatna tabia ya Mungu huku mwanamke kwa hulka na tabia za shetani.

Kwanza kati ya familia zilizoganda kimaendeleo ni hizi za "kuoana" wote waajiriwa ili "kusaidiana maisha" mume daktari mwanamke askari polisi qmmae hawa hawapigi hatua yoyote wataishia kua daraja la kati au chini siku zote.

Sababu ni nyingi ila kubwa ni migogoro isiyoisha. Fuatilia wanandoa wenye viajira mume na mke kutwa ni minyukano na kutunishiana misuli sasa hapo maendeleo yanapatikanaje mwanawane ?!

Angalia hata masingo maza wengi ni wanawake wenye viajira wanaviburi, jeuri mixa ujuaji mwingi na kwa mwanaume kamili hawezi kuvumilia huo upuuzi hata kwa dawa kuna siku uanaume ndani yake utamzindua kwenye huo upuuzi. Lazima atapiga chini hilo feminist
download (6).jpeg


Sijasema familia za baba mtafutaji mama anatunza familia hazina mogogoro ila hua ni michache sana na suluhu hupatikana mapema bila kuleta madhara makubwa na hivyo mume hua na utulivu wa akili. Na hapo ndio mipango ya maendeleo inatekelezwa kwa ufanisi.

Hebu niambid Mo Dewji je mke wake kaajiriwa wapi mpaka "wakasaidiana" maisha ??! Mke wa Bakhresa je ameajiriwatwapi mpaka wakasaidiana wakawa matajiri ?! Penye migogoro na malumbano (ambayo imetawala wanandoa waajiriwa) hakuna baraka hapo wala hakuna utulivu wa kupanga mikakati ya maendeleo.

Ili pawe na maendeleo lazima pawe na kiongozi sasa hawa familia za haki sawa ukoo wa kambale wote wana ndevu mume na mke wote kila mtu mjuaji ndio mnaona matokeo wanaume wengi siku hizi wanakufa mapema kwa mapresha, kisukari, shinikizo mara heart attack na magongwa mengine lukuki.
Screenshot_20240411-224017_Chrome.jpg


Wanaume waliooa wanawake wenye ajira wanaishi kwa maumivu na dhoruba kuu ni vile wanaugulia kimya kimya na NDIO WAKOME kutokusikia tangu lini mwanamke akamsaidia mwanaume.

Asante Mungu kwa kunipatia mke bora anaeitambua nafasi yake kama mke. Asante mama A mke wangu kipenzi, Asante kwa kuniombea kwa Mungu, asante kwa kuwalea watoto wangu kwa upendo wanaostahili. Nitaendelea kuzisaka noti kwa mzuka na morali ya hali ya juu ili wewe na watoto wangu muendelee kuishi kwa mustarehe maana unastahili mema ya nchi.

Screenshot_20220307-204104_Gallery.jpg


picha hainihusu ila napenda falsafa ya mume kama kiongozi, mtafutaji, mfariji na sio falsafa ya haki sawa, feminism rabish.
 
Mimi naona hamtakiwi kuwalaumu wanawake sababu wewe mwanaume unapohudumia familia, huwa kuna vitu unategemea uvipate in return toka kwa mwanamke ambavyo ni kutimiziwa baadhi ya majukumu ya nyumbani, kulelewa watoto wako, kupewa heshima na utii na mkeo sasa unapotaka mkeo naye afanye hilo jukumu la kuhudumia familia anapata nini in return, je uko tayari kufanya pia majukumu anayofanya au kumpa kile ambacho yeye huwa anakupa ili muende sawa
 
Naunga mkono hoja, wanawake si wataftaji in nature, sio kazi yao kuprovide. Kazi yao kuu ni care takers na watunza familia najua mtabisha, ila that's how nature works.

Katika ulimwengu wa capitalism kumeibuka dhana ya 50/50 ambayo imemsababisha kila mtu afanye majukimu sawa despite sex differences yaan mwanamke awajibike kwenye kazi ambazo basically sio priority kutokana na gender yake! Hii imeleta mentality ya wao kujiona kama ni viongozi na wanaweza kufacilitate majukumu ambayo mwanaume alipaswa kufanya.

Matokeo yake ndo haya tunayo ona leo, wanawake kutotaka koungozwa na mwanaume. Hii hali itazidi kua mbaya na ina affect pakubwa mahusiano especially ndoa. Mimi sina experience ya ndoa lakn najua kabisa kupata mwanamke alie na majukumu na bado aka play part ya kuwa mama wa familia ni kitu kigumu.
 
Mimi naona hamtakiwi kuwalaumu wanawake sababu wewe mwanaume unapohudumia familia, huwa kuna vitu unategemea uvipate in return toka kwa mwanamke ambavyo ni kutimiziwa baadhi ya majukumu ya nyumbani, kulelewa watoto wako, kupewa heshima na utii na mkeo sasa unapotaka mkeo naye afanye hilo jukumu la kuhudumia familia anapata nini in return, je uko tayari kufanya pia majukumu anayofanya au kumpa kile ambacho yeye huwa anakupa ili muende sawa
Wewe haujasoma nilichoandika HASA AYA YA MWISHO.
 
Wewe haujasoma nilichoandika HASA AYA YA MWISHO.
Anyway oeni wanawake wasiosoma ili muepukane na haya yote na hakikisheni mnahudumia hadi wazazi wao, siyo unachukua mtoto wa watu wazazi wake wamehangaika kumsomesha ili aje kuwasaidia halafu wewe unataka akawe mama wa nyumbani akihitaji pesa mpaka asubiri wewe mambo yakae sawa, bila shaka hata wewe hutasomesha mabinti zako na pia utawaasa kwamba wakiolewa wakawe wamama wa nyumbani tu si ndio
 
Back
Top Bottom