Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,282
- 4,556
Duh!!!
Mchungaji Noma ID 6 tena za kike
Huwa najichanganya wakati mwingine....nikigundua natakiwa kuwa kama Rev wa ukweli basi hufanya edit fasta fasta
Duh!!!
Mchungaji Noma ID 6 tena za kike
hahahahahahahaahahahhaah hii kali...ndo maana nikiona jina lako lazma nisome ulichoandikaKuna siku nitaanzisha thread ya vijogoo vilivyoshobokea ID zangu za kike na kutongoza.....Kuna watu na viatu JF....kuna njemba hutoa majina yao, namba na contact kirahisi sana.....Kuna mtongozaji maarufu pia...ID zangu 6 zote karusha ndoano.....crazy world, every one is dying for cheap sexy and love.
hahahahahahahaahahahhaah hii kali...ndo maana nikiona jina lako lazma nisome ulichoandika
Mwanamke popote alipo duniani ni riziki ya mwanaume.so usiogope hawa madada ni urithi wetu sisi.awe,mfupi,mrefu,mwembamba,mnene,mweupe mweusi,wa kasikazini,kusini,magaribi,mashariki usijali.hawa ni wetu tu.MIA
okay kwa kusome btn the linse, Shosti na mchungaji ni kitu kimoja ama? sielewi elewi.....
Ukiona Avatar ya kike nzuri na jina linavutia....unaweza uliza wewe ni Nyani Ngabu ama Mchungaji Masa hahahahahaha usirushe ndoano kaka kirahisi....labda kama mnafahamiana kwenye uhalisia.
hivi nyie wanaume wa jf mnachakachulika?There are currently 32 users browsing this thread. (21 members and 11 guests)
Nyie wawili apo juu, hasa hommie unafanya nini hapa si ulishaaga?
Hahahahahahaha unahitaji ID dectator software!
halafu usikute mchungaji ndiye aliyeleta hii thread.Duh!!!Mchungaji Noma ID 6 tena za kike
hapana mie ni shabiki namba moja wa mchungaji...usiogope kuja mnyamala bure ukidhani utakutana na mchungaji...okay kwa kusome btn the linse, Shosti na mchungaji ni kitu kimoja ama? sielewi elewi.....
u should reman loyal kwa uchunguji as una qualities za kichungaji.Huwa najichanganya wakati mwingine....nikigundua natakiwa kuwa kama Rev wa ukweli basi hufanya edit fasta fasta
hivi nyie wanaume wa jf mnachakachulika?
hapana mie ni shabiki namba moja wa mchungaji...usiogope kuja mnyamala bure ukidhani utakutana na mchungaji...
u should reman loyal kwa uchunguji as una qualities za kichungaji.