Hivi wanawake wa JamiiForums wanachakachulika?

Kuna siku nitaanzisha thread ya vijogoo vilivyoshobokea ID zangu za kike na kutongoza.....Kuna watu na viatu JF....kuna njemba hutoa majina yao, namba na contact kirahisi sana.....Kuna mtongozaji maarufu pia...ID zangu 6 zote karusha ndoano.....crazy world, every one is dying for cheap sexy and love.

Mkuu umepiga Ikulu mtu utavutiwaje na avatar au comment ya mtu?? Na ID nashangaa sana but I don't like kuwa na mwanamke zaidi ya my wife
 
Ndio... but si woote na si kwamba wachakachuliwa tu... nao wachakachua pia...
 
teh teh teh aisee halafu mpwa anakupa number unaibeep unaona jina limetokea unabaki kucheka tu

Kuna mmoja nilimwambia anisubiri samaki samaki, sina simu nikifika nitambeep niko na wazazi.....jamaa likatia timu samaki samaki.......jamaa kaacha ofisi ya umma.
 
Ni kaswali tu na kitanisaidia kupata ufahamu zaidi!
Nimekuwa mtumiaji mzuri wa social networks kama vile facebook, twitter, hi5, WAYN, Jhoos na myspace! Kwenye hiz network nimegundua kuwa ukiwa na urafiki na mdada, mkianza kuchat, kubadilishana namba za simu; inakuwa rahisi kwenu nyie kuingia kwenye uhusiano wa kimapenz regardles ni mke wa mtu or not! Je na wadada walio humu JF ni rahisi kuwapata kihivyo? Naomben experience plz

Nijuavyo hapa, ni sawa na watu wawili mnaongea huku mmetenganishwa na ukuta mkubwa mrefu sana. Utaona avatar nzuri, na ukachora kuwa huenda picha yake ni kama alivyo. Usishangae ukakuta ni dada yako au bibi kabisa.

My take; siwezi kutegeka jf, huku mawazo tu, viburudisho naenda fb.
 
Mwanamke popote alipo duniani ni riziki ya mwanaume.so usiogope hawa madada ni urithi wetu sisi.awe,mfupi,mrefu,mwembamba,mnene,mweupe mweusi,wa kasikazini,kusini,magaribi,mashariki usijali.hawa ni wetu tu.MIA
 
Urahisi wa kumpata mtu unaendana na uhitaji wa mtu na sio wapi umempata au vipi umewasiliana nae.Hata facebook/bar/mtaani ukikutana na mtu asiyehitaji mahusiano lwa wakati huo iwe ni kwasababu anayo tayari na hataki kubeba vidumu au hanayo ila ameamua kujipumzisha huwezi kumpata iwe kirahisi au kwa ugumu kama kubeba zege.

Aliye tayari tayari hata mkikutana kwenye dalaladala itakua rahisi kwake kukukubali kutokama na uhitaji wake.Hivyo hata hapa inawezekana wakawepo au wasiwepo....yote inategemea akili na utu wa mtu na sio Forum ya Jamii.

The Following User Says Thank You to Lizzy For This Useful Post:
Ashadii (Today)
 
Ni kaswali tu na kitanisaidia kupata ufahamu zaidi!
Nimekuwa mtumiaji mzuri wa social networks kama vile facebook, twitter, hi5, WAYN, Jhoos na myspace! Kwenye hiz network nimegundua kuwa ukiwa na urafiki na mdada, mkianza kuchat, kubadilishana namba za simu; inakuwa rahisi kwenu nyie kuingia kwenye uhusiano wa kimapenz regardles ni mke wa mtu or not! Je na wadada walio humu JF ni rahisi kuwapata kihivyo? Naomben experience plz

ANGALIZOOOO! Angalia usitongoze mwanaume mwenzio...l.o.l Badala ya kuchakachua, ukarudi na UZI wa kuchakachuliwa... hahhaahaaaaaaaaaaa
 
Ukiona Avatar ya kike nzuri na jina linavutia....unaweza uliza wewe ni Nyani Ngabu ama Mchungaji Masa hahahahahaha usirushe ndoano kaka kirahisi....labda kama mnafahamiana kwenye uhalisia.
 
Inahusu midume zaidi cuz ndio wachakachuaji!!

You sincerely bliv kua katika hii issue wanaume ndo wachakacuaji???
Mi nafikiri ni nature tu tulopewa wanawake kuwapa confidence kua
mwatuchakuchua hali mwachakachuliwa...
 
Nijuavyo hapa, ni sawa na watu wawili mnaongea huku mmetenganishwa na ukuta mkubwa mrefu sana. Utaona avatar nzuri, na ukachora kuwa huenda picha yake ni kama alivyo. Usishangae ukakuta ni dada yako au bibi kabisa.

My take; siwezi kutegeka jf, huku mawazo tu, viburudisho naenda fb.[/QUOTE]

u made my day ha ha
 
Inaonekana unakauzoefu kwenye hiyo fani mkuu,cheki tu usije ukamtongoza tena demu wako ambae unae sasa kwa ID yake fake kama yako.
 
Kuwa makini walio wengi JF ni wanaume na wanaID za kike kwa sababu ya anonymity! Mch nina ID za kike kama 6 hivi ila siwezi toa namba zaidi ya chat na kudanganyana.....ukiniweka kona ninaishia zangu. Binafsi siwezi mzimikia ghost name napenda ana kwa ana hizi internet zina uwongo sana....unaweza ambiwa navaa size 12 kumbe mwenzako ni big mama size 22! Be careful
Duh!!!
Mchungaji Noma ID 6 tena za kike
 
Back
Top Bottom