Hivi wanawake wa JamiiForums wanachakachulika?

asee Pj hapa ni ngumu sana yaani saaana najua kwann nasema hv mi si mtoto mdogo....nimehangaika weeee kutafuta wa moyoah wapi....nikatoka hola..
Weka tangazo na ambao hukuwasogelea kama nao wanataka kuwekwa moyoni wajitokeze.
 
Ooh, hapo nimekupata! Ni hatari kuwa na mke wa mtu! But ukiwa naye kwa umakini nafikiri huwezi kupata madhara! Hutakiwi kumng'ang'ania, unamaliza tu kilichokupeleka kwake then off you go.

Kuna chama cha Infidelity (Cheaters) omba uanachama
 
Ooh, hapo nimekupata! Ni hatari kuwa na mke wa mtu! But ukiwa naye kwa umakini nafikiri huwezi kupata madhara! Hutakiwi kumng'ang'ania, unamaliza tu kilichokupeleka kwake then off you go.
Kumbe mawazo yenyewe uliyonayo ndio hayo?!Na ulichokua unataka ni kujua kama unaweza kukamata wa hapa JF ehhh?! Well you won‘t....
 
Urahisi wa kumpata mtu unaendana na uhitaji wa mtu na sio wapi umempata au vipi umewasiliana nae.Hata facebook/bar/mtaani ukikutana na mtu asiyehitaji mahusiano lwa wakati huo iwe ni kwasababu anayo tayari na hataki kubeba vidumu au hanayo ila ameamua kujipumzisha huwezi kumpata iwe kirahisi au kwa ugumu kama kubeba zege.Aliye tayari tayari hata mkikutana kwenye dalaladala itakua rahisi kwake kukukubali kutokama na uhitaji wake.Hivyo hata hapa inawezekana wakawepo au wasiwepo....yote inategemea akili na utu wa mtu na sio Forum ya Jamii.
Hapo nimekuelewa!
 
Kumbe mawazo yenyewe uliyonayo ndio hayo?!Na ulichokua unataka ni kujua kama unaweza kukamata wa hapa JF ehhh?! Well you won‘t....
Nooo! hayo ni mawazo yangu tu kuhusu mke wa mtu!
 
Heheee!
Hii kali, jaribu bahati yako ila usije kudanganyika na avatar au id humu baadhi wanaume wana id za kike n baadhi ya wanawake wana id za kiume
 
Ni rahisi kumgundua mtu kama ni mwanamke au mwanaume hapa JF, kwa kuangalia tu the way anavyojiexpress unapata picha moja kwa moja kama ni mwanamke au mwanaume, otherwise awe na jinsia mbili kama vile mash oga
Hakuna kitu kirahisi kama ku act ..Tena kama mtu ndio hakuoni mmmhhhJaribu bahati yako lakini .. nisije kukuVunja miguu kabla hujaanza kukimbia..
 
asee Pj hapa ni ngumu sana yaani saaana najua kwann nasema hv mi si mtoto mdogo....nimehangaika weeee kutafuta wa moyo
ah wapi....nikatoka hola..

acha uvivu kijana, changamka bana,
mbona mie nilipata kama watatu hivi,
na mambo yakaenda sawa bin sawia,
yanawezekana bana.............................
 
acha uvivu kijana, changamka bana,
mbona mie nilipata kama watatu hivi,
na mambo yakaenda sawa bin sawia,
yanawezekana bana.............................

Umepata watatu na unajisifia?? Kweli Duniani kuna vituko. Punguza umalaya kaka
 
acha uvivu kijana, changamka bana,mbona mie nilipata kama watatu hivi,na mambo yakaenda sawa bin sawia,yanawezekana bana.............................
Kumbe inawezekana? Ngoja nianze kujaribu bahati yangu
 
Ni kaswali tu na kitanisaidia kupata ufahamu zaidi!
Nimekuwa mtumiaji mzuri wa social networks kama vile facebook, twitter, hi5, WAYN, Jhoos na myspace! Kwenye hiz network nimegundua kuwa ukiwa na urafiki na mdada, mkianza kuchat, kubadilishana namba za simu; inakuwa rahisi kwenu nyie kuingia kwenye uhusiano wa kimapenz regardles ni mke wa mtu or not! Je na wadada walio humu JF ni rahisi kuwapata kihivyo? Naomben experience plz

Huko kote uliko kutaja watu wanauza sura ndo maana unawapata kirahisi
 
Heheee!Hii kali, jaribu bahati yako ila usije kudanganyika na avatar au id humu baadhi wanaume wana id za kike n baadhi ya wanawake wana id za kiume
Kama Aisha hapi sijiuliz, najua automatic kuwa ni mdada!!
 
Heheee!Hii kali, jaribu bahati yako ila usije kudanganyika na avatar au id humu baadhi wanaume wana id za kike n baadhi ya wanawake wana id za kiume
Kama Aisha hapo sijiuliz, najua automatic kuwa ni mdada!!
 
Back
Top Bottom