Hivi wanaoshabikia CCM ni watanzania?

Hivi wanaoshabikia CCM ni watanzania?

Mwalimu nyerere alishawahi kusema kuwa aibu ya kutojua kusoma na kuandika ni aibu kubwa kuliko ya kutembea uchi, Kwa jinsi CCM na serikali yake inavyoongoza nchi hii nadiriki kusema kwamba aibu ya kuishabikia CCM ni aibu kubwa kuliko ya kutembea uchi.
 
kwa iyo wana igunga wanatembea uchi?
 
You made my day, thank you very much, I do concur with you 100 per ct
 
mimi nafikiri ni zaidi ya kutembea uchi,miaka hamsini ya uhuru w
bado kunaz
watu hawajui kusoma na kuandika !! Hivi kweli ukilaumiwa kwa hilo bado tu utasema flani mbaya !!??.shame to sisemu na wanasisiemu wote,anaeishabikia sisiemu ni punguani na mpinga maendeleo,au ndio wakielimike ndio kura zitapungua??nyambaffff sisiemu wote.
 
Huwezi kuishabikia ccm alafu bado ukawa na akili timamu.
Utimamu wa akili na U'ccm havichangamani.Kimoja kikiingia kingine kinatoka.
 
Kuishabikia, kuwa mwanachama, kuitegemea kimawazo ni zaidi ya kuwa mfu.
 
Huwezi kuishabikia ccm alafu bado ukawa na akili timamu.
Utimamu wa akili na U'ccm havichangamani.Kimoja kikiingia kingine kinatoka.

NI UPOPOMPO!NA TABU ZOOOTE HIZO WALIZONAZO WATU BADO WANAISHABIKIA SSM NYAMBAF zao
 
Kuna mambo mengi sana hapa ya kufikiria kabla ya hukum!inawezekana walichagua mtu wanayemtaka wakachakachuliwa, nani asiyejua sifa kuu uya nec??inawezekana vilevile hawana elimu sahihi juu ya umuhim wa kura moja ndo maana waliuza hadi 15,000.00 per each! Haya yote anayajua magayane!ila tupigane 2015 tuwe na watu wenye elimu sahihi! Tuwe na katiba!tucreate awareness kwa watu wote kama cdm wanavofanya, i hope tutafika!
 
.....na kuongozwa na ccm huku ukipiga kelele kimoyo moyo pasi na kuchukua hatua!?
 
Wanaoshabiki chadema ni zaidi ya vichaa. Wanaotamani amani ivunjike.
 
Unakuta mtu anafanya siasa za kufuatilia maisha ya mtu badala ya kujenga hoja ni jinsi gani sera za nchi zitakavyotekelezwa.
Nashangaa kila mara wanouchukia uovu wa viongozi wetu ndio wanakuwa maadui wakubwa wa nchi hii.
Naungana kiongozi wa chama fulani aliyesema kuwa njia ya kuwaadabisha viongozi wa bovu na vyama vilivyoishiwa sera ni masanduku ya kura.
Watanzania hatuwezi kuendelea kuwafumbia macho viongozi wabovu na serikali zao.
Chama kilicho na sera nzuri na viongozi wazuri ni CDM.Wananchi waachane na siasa uchwara badala yake wapambanue mabaya na mazuri na vipindi vyote ambavyo ccm imetawala.
Tunataka viongozi wa kituongoza sio kututawala kama serikali ya CCM inavyotutawala, kwani sisi watz ni koloni la CCM?.
Nchi hii inaongozwa kwa misingi ya sheria kwanini sheria huwa zinakiukwa?
 
Back
Top Bottom