Poa ila kumbuka kwamba chadema nayo imejaa laana kuanzia kwa mtei hadi kwa matata na shibuda ila kwa kuwa mna macho lakini hamuoni kuna siku mtaona tu, kumbuka ni heri shetani unaye mfahamu kuliko malaika nyoka kama chadema anaye tumia watoto wa maskini kuandamana wakati watoto wao wanasoma ulaya pole sana mtaandamana sana mtapigwa sana wenzenu wananeemeka!