Hivi wairaq wapoje kitabia?

Hivi wairaq wapoje kitabia?

Status
Not open for further replies.
Huu uzi unakatisha tamaa sana wale waliooa au wenye mpango wa kuoa huko! Unaweza ukawa hujaoa huko lakini mkeo bado akawa chama la wana.

Inshu ya uaminifu ni suala la kuomba Mungu sana..hawa viumbe hawatabiriki! Kila kabila lina changamoto zake! Acha kushikiwa akili na akili za watu humu,JK aliwahi kusema "Akili za kuambiwa changanya na zako"
 
Mkuu hebu weka picha yake maana hata Mimi ninae demu pande hizo nae yupo kama unavyosema,hawaeleweki hiyo jamii huruma nyingi.
Hahahaha tuone!

Upo sahihi ako, naas
aqo loe

Kukuita baba yangu is not an issue mkuu..
Cha msingi ni ukibaliane na hali halisi kama umempenda.ila ni visu sana aise..
point sana hii

Huu uzi unakatisha tamaa sana wale waliooa au wenye mpango wa kuoa huko! Unaweza ukawa hujaoa huko lakini mkeo bado akawa chama la wana.

Inshu ya uaminifu ni suala la kuomba Mungu sana..hawa viumbe hawatabiriki! Kila kabila lina changamoto zake! Acha kushikiwa akili na akili za watu humu,JK aliwahi kusema "Akili za kuambiwa changanya na zako"

kunywa nyagi dongo!
 
Furaha yako unataka maamuzi ya wengine..!! Wewe Kama unataka kuoa oa..humu kila mtu ana lake utaambiwa wa ovyo kumbe watu hutofautiana roho .
Usicheze na wanawake wa Karatu wewe...unaweza oa lakini kumbe wewe ni mwanaume wa buku mbili katika maisha yake
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom