Hivi wairaq wapoje kitabia?

Hivi wairaq wapoje kitabia?

Status
Not open for further replies.
La kwenu huwa mnaonewa kwa kweli,matukio ni machache mno kulinganisha na idadi yenu.
Mtahukumiwa kwenye biashara,japo nayo mengi sio ya kweli, nina marafiki wengi wa upande wa huko mafanikio yao mengi ni ya kujibana matumizi tofauti na sisi tunao jilipua
tunatuhumiwa na hela za manyoka. I wish ningekuwa nazo hata hizo za manyoka
 
umeona anko, ukiona kila siku unafokewa wewe tu jua una tatizo. Huo mfano niliokupa siku ukiona wanafokewa niite
Mkuu Khantwe ngoja nikusaidie kuhusu wasukuma. Kwanza naomba kudeclare interest nina unasaba nao.

Wasukuma wanaolewa bado wadogo sana kati ya miaka 14-18. Wanaume wa kisukuma wanajua sana matumizi ya papuchi, akioa mwaka unaofuata ana mtoto tayari na karibu kila mwaka mke wa kisukuma anabebeshwa mimba na uzao wao ni watoto 10+.

Familia ya watu 10+ ni kama mgahawa hasa ukizingatia size ya chakula wanachokula hawa ndugu zangu, kwa hiyo mke yuko busy asubuhi mchana na jioni na usiku mzee anapiga papuchi kama kawa.

Kwa mazingira haya huyo mwanamke anatoa wapi muda wa kugawa papuchi? Ila ukiwakuta mazingira tofauti na hayo wanagawa vizuri tu, tena huwa wa kushika mkono tu hawasumbui kutongoza. Wanapenda sana mwanaume awe 'msafi' na 'mjanja' si unajua hivi vitu kule adimu.

Kwa uzoefu wangu wa kuzunguka hii nchi na kuishi maeneo tofauti, hakuna mwanamke (wa kabila lolote) anayekataa mwanaume, kama mdau alivyo kwambia pale juu, leta kabila lolote hapa na waungwana watakupa wasifu wao.
 
Mkuu mbona wangoni sijasikia sifa yao mbaya?
 
Hao sitawazungumzia, ngoja wadau waje...

Nilichojifunza ni kweli kuna tabia ziko associated na makabila fulani ila kimsingi hizi tabia si za makabila bali watu wenyewe.

Kwenye uzi huu watu wamewasema wairaq lakini kuna wanawake wa kiiraq wapo na discipline ya hatari, jamaa yangu kaoa muiraq na ni bonge ya mke aisee.
 
Mkuu Khantwe ngoja nikusaidie kuhusu wasukuma. Kwanza naomba kudeclare interest nina unasaba nao.

Wasukuma wanaolewa bado wadogo sana kati ya miaka 14-18. Wanaume wa kisukuma wanajua sana matumizi ya papuchi, akioa mwaka unaofuata ana mtoto tayari na karibu kila mwaka mke wa kisukuma anabebeshwa mimba na uzao wao ni watoto 10+.

Familia ya watu 10+ ni kama mgahawa hasa ukizingatia size ya chakula wanachokula hawa ndugu zangu, kwa hiyo mke yuko busy asubuhi mchana na jioni na usiku mzee anapiga papuchi kama kawa.

Kwa mazingira haya huyo mwanamke anatoa wapi muda wa kugawa papuchi? Ila ukiwakuta mazingira tofauti na hayo wanagawa vizuri tu, tena huwa wa kushika mkono tu hawasumbui kutongoza. Wanapenda sana mwanaume awe 'msafi' na 'mjanja' si unajua hivi vitu kule adimu.

Kwa uzoefu wangu wa kuzunguka hii nchi na kuishi maeneo tofauti, hakuna mwanamke (wa kabila lolote) anayekataa mwanaume, kama mdau alivyo kwambia pale juu, leta kabila lolote hapa na waungwana watakupa wasifu wao.
aisee ahsante ila mimi maoni yangu hayajabase kwenye papuchi tu nimemuangalia mwanamke katika nyanja tofauti. Mwisho wa siku ni kweli tabia ya mtu hubakia kuwa suala binafsi bila kujali kabila lake
 
Nataka niwekeze kwa binti wa kiiraq kutoka babati,binti ametokea kunipenda sana,mwanzoni moyo wangu ulikuwa mzito kuchukua maamzi ya kuwa na uhusiano nae ila kadili siku zinavyozidi kwenda naona kwamba atanifaa,coz she is real beautiful,umbo zuri na rangi nzuri pia ,halafu ananijali sana kimatendo,siku za hivi karibuni amenikadhania niende kujitambulisha kwao,nipeni abc za mabinti wa kiiraq kabla sijafanya final decision
Chukua wako poa
 
Ni sawa, nilibase kwenye kugawa papuchi sababu ndiyo tuhuma nzito wametupiwa wairaq kwenye uzi huu.

Otherwise kama ulivyosema tabia ni hulka ya mtu, kwa hiyo pamoja na watu kuwalaumu sana wairaq haiondoi ukweli kwamba anaweza patikana mke bora tokea kabila hilo, hata Rome kuna waislamu.
aisee ahsante ila mimi maoni yangu hayajabase kwenye papuchi tu nimemuangalia mwanamke katika nyanja tofauti. Mwisho wa siku ni kweli tabia ya mtu hubakia kuwa suala binafsi bila kujali kabila lake
 
sura ya kupuliza moto
Ndio kuna bidada wako siriazi sana hadi sura zinatisha, sababu ya sura zao mzunguko wa kutongozwa ni mdogo lakini haimaanishi wana tabia nzuri la hasha!
Tena ndio watoaji wazuri.
Mara nyingi tunawaonea warembo kwa kuwaona hawajatulia kumbe wanasumbuliwa sana kwa uzuri wa sura zao.
Naoa kitu roho inataka mie
 
Ni sawa, nilibase kwenye kugawa papuchi sababu ndiyo tuhuma nzito wametupiwa wairaq kwenye uzi huu.

Otherwise kama ulivyosema tabia ni hulka ya mtu, kwa hiyo pamoja na watu kuwalaumu sana wairaq haiondoi ukweli kwamba anaweza patikana mke bora tokea kabila hilo, hata Rome kuna waislamu.
Ni kweli kabisa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom