BAKOI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,211
- 2,330
Wewe uliyeomba ushauri naona tena unatoa ushauri.Noma sana ila Wana fake love sana,ukiwa nae unaweza kusema upo pekeyako kumbe ni zamu yako tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uliyeomba ushauri naona tena unatoa ushauri.Noma sana ila Wana fake love sana,ukiwa nae unaweza kusema upo pekeyako kumbe ni zamu yako tu
Upo sahihi ako, naasAcha nikupe kisa kimoja kinachonihusu.
Mwaka fulani nilipata field uko hydom, kiukweli nilista ajabu kuona uzuri wa wasichana wa kule, nikajikuta nimeshaingia kwenye mapenzi na binti wa kimbulu(alikua mwajiliwa). Mapenzi yakawa motomoto(nikajikuta marioo). Nitake nini mwanaume nisipate, out za kila mara, nikaona hapa naoa.
Mwanamke mpole, mnyenyekevu, mkarimu, nilijiona mbabe kweli.
Baada ya miaka miwili mwanamke akaanza kulazimisha sana ndoa, akadai kama sina hela yeye atagharamikia kila kitu hili mradi nimuoe, nikaona hii siiwezi. Nikamwambia asubiri kidogo.
Aisee kumbe demu ni demu wa masela, wanaoniita shemeji ndiyo mabwana zake.
Kisa ni kirefu hila hawa hawajui kukataa, ukioa jua na jirani yako atakula tu.
Nakupa task nenda uko ukweni, jaribu kumtongoza rafiki/mdogo mtu/dada mtu/ au mke wa mtu, ukikataliwa basi oa
Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
Ndio kazi wanayoipenda, wapo wengi sana maeneo ya Shivaz kwa chuga, Sinza kwa Dar na chako ni chako DomAsilimia kubwa wanapenda kuuza baa
Wanapenda mboo kuliko hela. Ukitaka kuthibitisha hili, pata mdada wa kimbulu ambaye hajaanza mapepe badondo kazi wanayoipenda, wapo wengi sana maeneo ya Shivaz kwa chuga, sinza kwa dar na chako ni chako dom
Usinikunbushe, Mary ulipo jua ulisababisha nikataka kujiua sababu tu ya penzi lako. Sina hamu na wairaq ni sawa na mchwa, wanakutafuna ndani ila nje uko freshNataka niwekeze kwa binti wa kiiraq kutoka babati,binti ametokea kunipenda sana,mwanzoni moyo wangu ulikuwa mzito kuchukua maamzi ya kuwa na uhusiano nae ila kadili siku zinavyozidi kwenda naona kwamba atanifaa,coz she is real beautiful,umbo zuri na rangi nzuri pia ,halafu ananijali sana kimatendo,siku za hivi karibuni amenikadhania niende kujitambulisha kwao,nipeni abc za mabinti wa kiiraq kabla sijafanya final decision
Uwe tayari kugongewa na kila mtu maana hawana roho mbaya na mbunye zaoNataka niwekeze kwa binti wa kiiraq kutoka babati,binti ametokea kunipenda sana,mwanzoni moyo wangu ulikuwa mzito kuchukua maamzi ya kuwa na uhusiano nae ila kadili siku zinavyozidi kwenda naona kwamba atanifaa,coz she is real beautiful,umbo zuri na rangi nzuri pia ,halafu ananijali sana kimatendo,siku za hivi karibuni amenikadhania niende kujitambulisha kwao,nipeni abc za mabinti wa kiiraq kabla sijafanya final decision
Pole sana mkuu, ndio maana nikaja huku kuulizwa nisije uziwa mbuzi kwenye guniaUsinikunbushe, mary ulipo jua ulisababisha nikataka kujiua sababu tu ya penzi lako. Sina ham na wairaq ni sawa na mchwa, wanakutafuna ndani ila nje uko fresh
Oa kwenu acha umama....Nataka niwekeze kwa binti wa kiiraq kutoka babati,binti ametokea kunipenda sana,mwanzoni moyo wangu ulikuwa mzito kuchukua maamzi ya kuwa na uhusiano nae ila kadili siku zinavyozidi kwenda naona kwamba atanifaa,coz she is real beautiful,umbo zuri na rangi nzuri pia ,halafu ananijali sana kimatendo,siku za hivi karibuni amenikadhania niende kujitambulisha kwao,nipeni abc za mabinti wa kiiraq kabla sijafanya final decision
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣fala weweutakuwa umefanana sura na baba yake labda
Humu huwezi jua, kuna vitoto kuna wahuni kuna baharia...sasa hapo unategemea upate ushauri kweli.... na ukumbuke kila mtu ana opinions zake.....na inaonekana wewe ni rahisi sana kushawishika na mtu wa hivyo ina maana hajitambui au hajiamini wala hauna msimamo... na mwanaume hatakiwi kuwa hivyo sasa wewe huyo mke utaweza kumuongoza na kuongoza familia kweli....kama hujiamini huwezi acha sio umchafue binti wa watu.....unatafuta tatizo wakati tatizo ni wewe..... what the hell!! man?...Noma sana ila Wana fake love sana,ukiwa nae unaweza kusema upo pekeyako kumbe ni zamu yako tu
Kukuita baba yangu is not an issue mkuu..Daa kumbe,,,nachoshangaa huyu duu kila muda ananiita"baba yangu" sijui ana maana gani?